donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Vita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.
Huko si wanakaaga uchi?Vita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.View attachment 1729872
Nyerere yukwapi?Vita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.View attachment 1729872
Yupo ndani, hao wamekuja kumlaki getini.Nyerere yukwapi?
Ooh sawaYupo ndani, hao wamekuja kumlaki getini.
Wewe ulishawai kwenda !?Huko si wanakaaga uchi?
Kwa mujibu wa Nani?Huko si wanakaaga uchi?
Atakua alienda kula tano kidogoNyerere yukwapi?
huwa wanavaa nguo za kufanana/sareHuko si wanakaaga uchi?
Hawataamini macho yao, Hadi jiwe umekuja?Daah, kama kuna kukutana huko sipati picha wwnyeji waliokaa huku kwa hizi wiki mbili tatu watakavyotoa macho na wasiamini wanachokiona!
Mkiwa uchi hamfanani?huwa wanavaa nguo za kufanana/sare
😂😂😂inategemeana upo uchi na nan,kunawatu mtafanana wengine hamtofanana zaidi ya kufanyana🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mkiwa uchi hamfanani?