Recent content by Emmanuel mugaka

  1. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Inahitaji Reformation haraka kuweza kum-catch Magufuli!!!

    Tatizo la kwetu wanachadema hatupendi kuambiwa ukweli. Mkuu alichoongea ni sahihi kabisa na ukweli wenyewe but cha ajabu utashangaa watu wanampinga
  2. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

    Mie nipo mumy nicheki tuyaone
  3. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    pamoja na kwamba kila mtu ana uhuru wa kueleza hisia zake lakini we jamaa umenikera sana na thead yako hii mbovu,,,,, umenikeraaaaaaaaaa
  4. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifanya kosa ndio lakini mwenzangu amegoma kunisamehe, nifanyaje?

    Jamani hilo tatizo hata mie limenitokea,,, mm nimempa binti mwingine mimba ndilo kosa langu,,,, ss ni mwez wa sita mpnz hataki kunisamehe cha ajabu akiwa na shida ananitafuta,,,,, kabla ya mgogoro huo tulikuwa vzr tu,,,, ss nifanyeje
  5. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Tunda wewe ndio Cleopatra wa Tanzania

    Duuuuu ila jamaa angu huwajui watoto wazuri wewe
  6. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Mke wa Rais

    Duuuuu nomaaa
  7. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Mke wa Rais

    Babaaa lete vitu
  8. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Mke wa Rais

    E bana wee unanikosha wee
  9. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Mke wa Rais

    duuuuu ibra wewe ni hatari,,,, malizia basi mkuu
  10. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume jamani mbona sipati

    Karibu nipo hp
  11. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHADEMA

    Mkuu nakuunga mkono,,,, chadema chadema chadema,,, noooooooo nasema noooooooo,,, wanifanya zuzu, zezeta, tahira,,, nami tokea leoo citaki kusikia kiumbe chadema,,,,
  12. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Nicheck inbox
  13. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Hivi NACTE hawajafunga maombi awamu ya pili?

    Jamani naomba msaada hivi maombi ya Diploma ya ualimu Kwa wahitimu wa kidato cha Sita 2016 ni lini mbona sielew sielew
  14. Emmanuel mugaka

    JamiiForums Tanzania Inawezekana makosa ya Sokoine yakajirudia

    Mmmmh
Back
Top Bottom