Nimeamua kuachana na CHADEMA

Nimeamua kuachana na CHADEMA

Tatizo wanawalazimisha wananchi kuamini kuwa nchi inaendeshwa kidictator wakati wananchi wenyewe hawaoni kama kuna udictator. Kwa hali hiyo ni sawa na kimpigia mbuzi gitaa.

Penye udictator wananchi hawahitaji kuambiwa tazama! Wataanzisha maandamano wenyewe bila kushawishiwa na mtu.
 
Kuna msemo heri lawama kuliko fedhea... Mbowe alishasoma fedhea inayokuja, imagine unaingia mtaani na watu kumi wanaokuunga mkono wengine wapo pembeni wanashangaa na kuchukua picha za kurusha insta na fb... Kiukweli Chadema ya leo sio Chadema ya Dr Slaa.. Kuna siku mtakuja kumkumbuka Slaa japo leo mnamtusi matusi yote ila kile kichwa kilishafanya calculations na kuona yote haya wakati nyie mnawaza kura za ulipo tupo.


Naona JF ina wana-UKUTA wengi una maana nao wasingeshiriki maandamano????? tehtehtehtehteh
 
Mkuu hama tu Hamna namna ...at a mim ninafikiriaa kujiuzuru lipumba kama michezo itakuwa kubadili gear namna hi i n.a. mi ntabadili gear ya kujiuzuru pia
 
Naomba nikutukane nyambafu umekubali au umekataa lkn tusi limetoka huwezi bishana viongozi wa dini labda uwe huna dini swaini ww
 
Hivi kuna nchi yoyote hapa duniani inayoweza kutushinda kwa unafki?

Busara kama hizi za Leo zingetumika basis Mwangosi angekuwa hai Leo.

Mwangosi ameacha mjane na watoto yatima, Dr Mihogo anakula bata Canada.

Acheni kudhani uhai wa watu hauna thamani IPA midadi yenu ndio INA thamani wakati kwenye maandamano yenyewe hamuendi front mnaishia nyuma ya keyboard tu.
 
Mkuu nakuunga mkono,,,, chadema chadema chadema,,, noooooooo nasema noooooooo,,, wanifanya zuzu, zezeta, tahira,,, nami tokea leoo citaki kusikia kiumbe chadema,,,,
 
you can not go against the most powerful man in whole of Sub Saharan Africa and expect "some" results!
 
Mbowe na kundi zima la CHADEMA wanafaa sana kuziongoza timu za yanga na Simba na siyo vyama vya siasa vyenye malengo ya kukamata dola.Hana dila wala msimamo achilia mbali mpango mkakati wa kuongoza nchi zaidi ya kukumbatia matukio.Hakuwa na sababu ya kuhamasisha maandamano huku akijua wazi kuwa hana watu wanaomuunga mkono kwa maandamano yanayoashiria uvunjifu wa amani zaidi ya kundi dogo la wanasiasa wanaotaka vurugu nchini kwa maslahi binafsi.Uongozi wa timu hizo mbili kubwa za mpira wa miguu umejaa usanii na ubabaishaji mkubwa ambao unaweza kuufananisha na uongozi wa mheshimiwa sana Mbowe na wateule wake pheeew.
 
Ili ukamilishe Zamora ya maandamano kesho toka na benders yako ya cdm uckubali kushidwa kamanda
 
Mkuu kamanda kabadili gia tu angani jipange tena October mosi
 
Vuta pumzi mkuu , rudi nyuma na jitafakari , kuahirisha si kuacha au kushindwa , mimi binafsi nimepata hasara ya karibu hela ya madafu 2.7 mil kwa ajili ya maandalizi .

Wee achana naye huyo! Ukiisikiliza hotuba ya Mbowe utajua kweli hata ile nafsi ya Ngosha kama angepewa yeye nchi hii isingekuwa hapa ilipo. Kwanza anatupenda.
 
Hapa ndipo napomkubali kamanda wa ukweli Dr Slaa asiye na misimamo ya kinyonga.

Anayemlinganisha Slaa na genge ka Lowasa atakuwa na akili za manyau nyau.

Kamanda gani unawashoot wanatroop wenzako!!?

Kwa hili Mbowe ameingia shimo la siafu....
 
Sasa hawa viongoz walpe hela walzotimia kuzunguka nchi nzima et wanaenda kuratibu IKUTA ili hal wanajua kabsa n danganya toto
 
Mkuu Ngongo vumilia kamanda hatujaacha maandamano bali tunatafuta njia mbadala, usifanye maamumizi yoyote ukiwa na hasira!!!!!
 
Back
Top Bottom