Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri
Miaka Hiyo....Ngoja Ngoja Nifikishe Basi
 
Embu tuasume wewe ni gari na uko sokoni....Sisi serious buyers tungependa kujua yafuatayo;-

  • Kwamba wewe ni model ya mwaka gani?
  • Made in wapi?
  • Kwamba wewe ni manual (kwa matumizi ya shamba tu) ama ni auto (kote kote i mean)
  • Mashine inasoma ngapi kwenye dashboard(kwa maana ya umedate mara ngapi)
  • Umewahi kushusha Engine/umewahi kufanya over hall (kutoa mimba)- kama ndio mara ngapi?
  • Mara ya mwisho umefanya service lini(Kupima)
  • Na kwamba ni watumiaji wangapi walipata kumiliki gari hili/kuoa.
  • Taja sifa za ziada kama mwendo wako kwenye 6/6.
  • Body type
  • Colour
  • Una turbo kidogo ama ni flat clossed saloon.

Duh! Hapa upele umepata mkunaji!
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri

kwa cku awe na uwezo wa kufunga goli ngapi?
 
aaah miss manka hiyo sharti la miaka umekaza mno ebu legeza kidogo
 
Aliye na sifa hizo zote bila shaka atakuwa mume wa mtu. Labda kama unataka kuwa mke wa pili.
 
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana.

Na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed, awe na miaka 36-40.awe mkristo na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboa.

Karibuni,kejeli sio nzuri
Hivi umefanikiwa kumpata huyo mume??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom