Natafuta mume jamani mbona sipati

Natafuta mume jamani mbona sipati

Huyu binti ni kweli anahitaji mume!..kahangaika sana kuanzisha thread nyingi humu!..asaidiwe
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Hivi nyie wanaume ambao kila uzi wa anayetafuta mume/mchumba mpo huwa 'hamfanikiwi?'
Miaka nenda rudi...
Tatizo nyota alafu wengine kigezo cha umri kinatutoa nje ya uringo
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Utakuwa na kasoro tuuh! Tumia sampuling za mmu jf wanaume wengi wanatafuta wake! Shida kubwa utakuwa hujitambui..!
 
Ukibadili mawazo ya rangi nitafute
 
Hivi nyie wanaume ambao kila uzi wa anayetafuta mume/mchumba mpo huwa 'hamfanikiwi?'
Miaka nenda rudi...
Hao akina marahaa1 ni midume tu. Hivyo wanaume WA ukweli wanaotafuta ndito hawapati wanaendelea kutafuta maana unaambiwa ukichoka umeishapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom