Mimi ni shabiki wafilum hasa za kutoka majuu lakini nimekuwa nikutana na filum zinazo zungumzia maisha ya viumbe vinavyo julikana kama vampire! miongoni mwa filum hizo nikama The blades(1,2,3 & 4),Underworld(1,2 & 3),Interview with vampire,Being human(season 1 & 2),Twilight,Twilight(New moon)...