Wana jf mwenye uelewa kuhusu ELECTIVE COURSE uwapo chuoni naomba msaada katik yafuatayo
----------faidayake baada ya kumliza chuo
---------hasarazake kama hutolichukua
kwangu hili naona nikidot kwani seelewi lolote kuhusu elective coarse!​
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.