Sijui ntafanikiwa kupata majibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ntafanikiwa kupata majibu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by UncleUber, Sep 20, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Sio kila mara nasafiri kuona maajabu ya dunia, kuna maswali ambayo uwa najiuliza na hayana majibu, safari hii nimeifunga all the way from rockcity, nimemuacha mama watoto akiwa kwenye bedrest, ili tu nipate majibu ya maswali yangu,,

  je, Invisible ni robot kweli? Kama ni mtu, ni mwanamke au mwanaume, if possible ningependa nipate kupga nae picha... Sitaondoka mjini hapa nionane na robot. Yoyote anayejua anapopatikana anifahamishe... Sina sababu yoyote zaidi ya curiousity
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nikabizi CL nifanye kazi hiyo,ntakupa majibu,na ntamleta kwako upige nae picha kisha ukashangae mwanza
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  acha viroba na cha arusha
   
 4. E

  EMMANOS Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! unanikumbusha mbali saaaaaana!!
  INVISIBLE is equal to beyond nature!! or Humankind as follows:- LIQUID METAL TERMINATOR
  X-MEN
  VAMPIRES
  ALIEN
  SPECIES
  PREDATORS
  SPIRITUAL OBJECTS
  DIVINE BODIES
  MAGNETO ALIEN
  DIGITAL MOBILE OBJECTS
  T-VIRUS
  Kazi ni kwako BY
  EMMANOS
   
Loading...