Naomba mbinu za kuweza kuishi chuoni

EMMANOS

Member
Sep 20, 2012
14
2
Ndio kwa mara ya kwanza naenda kuanza masomo ya chuo, ukweli kwanza nahitaji msaada mkubwa kutoka kwa yeyote ambaye ana uzoefu na maisha ya chuo ili niweze kutimiza malengo yangu nilio jiwekea. sijui chochote ku husu chuo naomba msaada wa
----nini ni fanye iliniweze kuishi na wana chuo wenzangu salaama
----nifanye nini ili niweze ku cotrol boom(naomba mbinu)
----nifanye nini niweze kwenda sambamba na time table
----nacho kwenda soma ni bachelor of science in education at SUA je kunahitajika madaftari mangapi?
----Je kutumia materials ya walio kutangulia mwaka ina kubalika
Kwa hayo ndio nime weza kuya fikiria,lakini kama kuna mengi zaidi ya hayo naomba kunijuza.!
 
Mdogo wangu kuna vitu vingi kwanza the most important ni kujikeep low profile

Usitake makuu na wewe kuonekana kumbuka mnatoka family tofauti

Akina dada kua nao makini mana siku hizi wanavimitego kama nini sisi wazee wanatutega kwa umri wako nahisi itakuwa balaa

Soma sana kwa bidii - je keep busy sana

Usipende mikumbo kama ya kugoma , kushabikia kile chama kinachovaa magwanda wewe kuwa normal and cool

Kuwa karibu na walimu wako
Nitarudi
 
Mdogo wangu kuna vitu vingi kwanza the most important ni kujikeep low profile

Usitake makuu na wewe kuonekana kumbuka mnatoka family tofauti

Akina dada kua nao makini mana siku hizi wanavimitego kama nini sisi wazee wanatutega kwa umri wako nahisi itakuwa balaa

Soma sana kwa bidii - je keep busy sana

Usipende mikumbo kama ya kugoma , kushabikia kile chama kinachovaa magwanda wewe kuwa normal and cool

Kuwa karibu na walimu wako
Nitarudi


[thanx brother kwa ushauri huu both mpya mbele yangu na nimzuri
nina ahidi ku uzingatia]
 
Nafikiri hii thread na huo maushauri uje utupe feedback ufikapo 3year sawaaaaaaaaa
 
Jitahidi kuepuka kuwa kiongozi wa migomo ila uwe tu mshiriki wa migomo kwani wakati mwingine huwa haiepukiki.
 
simamia standing orders
kua na ratiba huru na uifuate
achana na maisha ya kuiga
bajeti pia ni ya muhimu
achana na mapenzi kabisa
soma na shirikiana na wadau wakiwemo walimu e.t.c
utafika mbali sana
 
dah mi niko udsm hapa, bt sielewi kabisa, nimeckia mengi kuhusu mabibo hostel na niko hapa ila bedo sioni hata moja, nadhani inategemea na mtu, kuhusu gals ikiwa cool they wont bother u, bt ikishoboka nao lazma wakusumbue, unawza ishi vyovyote unavyotaka bila kuathiriwa na mazingira
 
Ndg...yangu jitahidi kuwa na PR muda wako wote uwapo chuoni.
Ni hii ni muhimu sana na huwa haifundishi...na ndio maana unaweza kumwona mwingine anavalia suruali chini ya makalia.
in any sentence spoke he must speak foolish word.Try to find presentable role modal.
Kuhusu kitabu only you need to attend lectures,discussion and forget to visit notice board.
Ukifanya hivyo You must succeed
 
maisha ya chuo kikuu ni wewe no ushauri serikali kichwa chako so wewe nenda utajionea wala usiogope be happy ukiishi kwa kutegatega utaona maisha magumu so wewe nenda utakalo kutana nalo pigana lengo lako ni kumaliza chuo salama na GPA iwe powa
 
Back
Top Bottom