Naomba msaada wana sua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wana sua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by EMMANOS, Oct 2, 2012.

 1. E

  EMMANOS Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kaka hapo sijakusoma!!!! unataka kujua nini??? mchanganuo wa hiyo program au?? au unatakuakujua ada???
   
 3. M

  Msabaha lk Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ama kweli KOBA hakukosea aliposema penye miti hakuna wajenzi. mkwanja kwanza haupewi wewe subiri upewe hilo boom ila chamsingi hapo ni 7500/- kwa siku
   
 4. E

  EMMANOS Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka nilichotaka kujua nitachangia shilingi ngapi? Ada kwa mwaka?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hela zote hizo utapeleka wapi aisee? Inabidi uoe
   
Loading...