Recent content by Emma504

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kinana, Nape kung'oka CCM

    Uzushi wa hatari sana huu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hivi TTCL mna nini?

    Wanasema rudi nyumbani nyumba yenyewe ndo hii mbovu. Yaani network yao inakera sana.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari

    Ndio mahakama za mwanzo zinauwezo wa kusikiliza lakini vifungu vya shiria ya arthi sijui ila unaweza ku google sheria ya arthi itakusaidia
  4. E

    JamiiForums Tanzania WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

    [emoji102][emoji102][emoji102][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku-reboot Tecno L5

    Hiyo ni kazi ndogo, iformat kwa kubonyeza power batani pamoja na volume up kwa pamoja (power + volume kwa pamoja) shikilia kwa second 10 halafu chagua factory reset simu yako itarudi kama mpya. Onyoo itafuta kila kitu kwenye simu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Ni kweli Lissu na chama chake wajaribu kuangalia hawa jamaa tutawabania wapi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Sasa kipindi cha kumpa Lissu na chama chake ndio huu, amuite Ikulu ajitambulishe alafu ampe home work ya hii maneno
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Jamani kwa sehemu hii tulipofikia lazima tuweke maslahi ya nchi yetu kwanza. Tusiseme waliofanya ni akina nani huku tukiendelea kupata hasara kubwa, tuokoe kwanza alafu tuangalie ni nani aliyesababisha.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Hapana tatizo sio chama cha siasa. Hapa tunazungumzia chama cha mawakili tanzania na kiongozi wao ni lissu. Watafute namna ya kuangalia hapa wamshauri Mh. Raisi kama hawawezi hakuna haja ya wewe na chama chake kuwepo hapa nchini wakafanye kazi zingine.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Tena Mhe. Rais angetoa amri moja kwa Lissu na jopo lake kama hawawezi kutafuta namna ya kuwashitaki hawa jamaa afutilie mbali chama cha mawakili Tanzania maana kitakuwa hakina msaada kwa nchi yetu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Tena Mh. Rais angeamua jambo moja. Lisu na jopo lake wangepewa home work ya kujadili ni jinsi gani tungeweza kuwashitaki hawa jamaa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria

    Asante sana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria

    Ninakesi na mtu fulani mahakama ya mwanzo. Nilimkopesha kiasi cha pesa kwa kuandikishiana, lakini sasa yeye anadai kwamba nilimkopesha kwa riba na analeta shahidi siku ya maamuzi ya kesi. Na huyo shahidi hakuwepo wakati tunaandikishiana. Nifanyaje hapa wadau?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

    Mafunzo yao kwa ujumla yanafanana ingawa kuna tofauti ndogo ndogo. Ndio maana dunia nzima wanajuana kwa special code ambazo mtu wa kawaida hupaswi kuzijua na hii ni kwa usalama wako wewe raia.
Back
Top Bottom