Msaada tafadhari

Odinga J

New Member
Jun 17, 2017
1
1
Je mahakama ya mwanzo hapa nchini zina uwezo wa kusikiliza shauri la mirathi ( probate and administration case) kwa mirathi inayohusu ardhi iliyosajiriwa( registered land)?
Msaada wa kifungu cha sheria na maamuzi ya mahakama tafadhari kama ndio au hapana.

Natanguliza shukrani
 
Ndio mahakama za mwanzo zinauwezo wa kusikiliza lakini vifungu vya shiria ya arthi sijui ila unaweza ku google sheria ya arthi itakusaidia
 
Je mahakama ya mwanzo hapa nchini zina uwezo wa kusikiliza shauri la mirathi ( probate and administration case) kwa mirathi inayohusu ardhi iliyosajiriwa( registered land)?
Msaada wa kifungu cha sheria na maamuzi ya mahakama tafadhari kama ndio au hapana.

Natanguliza shukrani
Haina uwezo hata kidogo Mkuu.

Tafuta magistrate Court's Act, soma section 11 to 18 utapata jibu.
 
habari za jioni learned brothers n sis,
Eti Kama judgment ya primary court imetoa siku 45 za rufaa, wakati huo magistrate court act inasema siku za ku file petition of appeal ni 30 Tu. what is a stand of law sasa wakati huo upande wa pili umepiga P.O kwakua umefile appeal siku ya 36 baada ya hukumu kutoka. what is a stand there?
 
Hizo siku 30 za appeal inategemea na kesi inahusu nn sio kila kesi ni 30dys hapana normal civil case ndo hzo siku lakn kesi kam ya ndoa (matrimonial) appeal yake ni 45 days.

Kama kesi husika ni appealable with 30 days kwa mjibu wa sheria andishi (e.g MCA etc) halafu magistrate akasema 45 then sheria itayotumika ni sheria ANDISHI iliyotungwa na bunge na sio SLIP OF A PEN of that respective magistrate.
 
Back
Top Bottom