Msaada wa ku-reboot Tecno L5

baraka clemence

Senior Member
Sep 18, 2016
137
66
Nina tecno yangu L5 nilikuwa nimesahau pattern nikawa na reboot nikahold volume na power off batani saiz inaniandikia fastboot method ndo imeganda hapo hapo naitaji msaada tafadhali
 
Nina tecno yangu L5 nilikuwa nimesahau pattern nikawa na reboot nikahold volume na power off batani saiz inaniandikia fastboot method ndo imeganda hapo hapo naitaji msaada tafadhali
Hiyo ni kazi ndogo, iformat kwa kubonyeza power batani pamoja na volume up kwa pamoja (power + volume kwa pamoja) shikilia kwa second 10 halafu chagua factory reset simu yako itarudi kama mpya. Onyoo itafuta kila kitu kwenye simu
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
Simu yako ipo rooted?
 
Simu yako ipo rooted?
mkuu nimefanikiwa ku-ROOT simu na nimefika hatua hii hapa lakini nashindwa kuendlelea mbele zaidi...nikifanya backup napata data kidogo tu zingine sizioni. Inaweza kuwa tatizo ni nini?

upload_2017-6-16_15-54-58.png
 
poa mkuu. lakini nikipeleka kwa mafundi simu kariakoo si wanaweza kunisaidia?
mafundi wa k/koo hamna kitu, simu yangu ilicorupt bootloader nikawapelekea karibia watano nawaeleza tatizo wao wanafungua na kuanza kusafisha ndani na miswaki! nilikuja kukomaa na google hadi nikaifufua.
 
Hiyo ni kazi ndogo, iformat kwa kubonyeza power batani pamoja na volume up kwa pamoja (power + volume kwa pamoja) shikilia kwa second 10 halafu chagua factory reset simu yako itarudi kama mpya. Onyoo itafuta kila kitu kwenye simu
Mkuu nami nina samsung SGH-T679 Nimesahu pattern nisaidie mkuu namna ya ku-factory reset
your help guyz
 
Basi mkuu ngoja tukomae sisi wenyewe hadi kieleweke. Mimi nimejaribu ku-RECOVER data zangu naona kabisa baadhi zimefanikiwa kurudi lakini nimekwamia hapa kama unavyoona hapo chini. Je, ni wapi nimekosea au nifanyeje ili kurecover data zangu mkuu?

upload_2017-6-17_13-14-44.png
 
Kila nikijaribu hiyo TRIAL naambiwe niingize key. Sasa hiyo key mimi ntaipata wapi wakuu?
upload_2017-6-17_13-21-19.png
 
Just google it utapata na ukikoswa kabisa nitext whatssap ntakusaidia 0629166514
mkuu nimefanikiwa kupakua tool na kurecover data lakini nashindwa kuzirudisha kwenye simu kwa kuwa natakiwa niingize KEY. Ninawezaje kuSKIP hii hatua ya kuingiza key (ambayo sina)?

upload_2017-6-17_13-21-19-png.525638
 
Nimekwambia keys tuma elfu tano kwa njia ya m-pesa nikupe
 
Back
Top Bottom