justus ndyanabo
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 444
- 379
Hili gazeti halibahatishi
Hata waking'oka bado watakaoletwa watakuwa mchwa tu, ccm ni kizazi cha mchwa
ndani ya chama kumepamba moto..kinana alivyo fanyiwa duu...Magu hacheki na mtuHatimaye Kinana na Nappe sasa kung'oka CCM
Chanzo: gazeti la Tanzania Daima la leo
Mwana CCM mwenzangu Una maoni gani juu ya hili?
![]()
katimu ka zamani kichiziYaani habari za Yanga zinaripotiwa na zimanimoto
Nonsense