KUNA STORI HAPA NIMEKUTANA NAYO. KAMA NI KWELI, BASI KUMUAMINI BINADAMU NI KAZI NGUMU SANA.
Nilienda kumzika ibilisi wangu!
Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona. Dereva na mke wangu walifia pale pale kwenye eneo la tukio. Tulikuwa tukitokea Chalinze kurudi Dar...
Ninataka kujikita rasmi kwenye ujasirimali ambao hautakua na risk kubwa. Nimefikiri Ufugaji wa Nyuki unaweza kuwa na tija kwa sababu hawahitaji chanjo, maji, umeme, ni kuweka mzinga na kwenda tu kuvuna kila inapojaa.
Ni nani mwenye taarifa kuhusu mradi kama huu?
- Ni wapi hasa kunafaa kwa...
Hapa kweli iko ISHU NZITO. Hawa wanangata na kupuliza sidhani kama wana tofauti wakoloni. Mkoloni alijulikana rasmi kuwa ni mnyonyaji, mkoloni wa leo anajiita ndugu, anafanana na sisi, tukilia njaa analia na sisi angali yeye ndio chanzo.
Mmechuma lakini hatutawaacha mle kwa amani. Mafisadi wote...
Naona kuna wenye sura za Mkapa, Lowasa nk. Nani ana uhakika ndio wenyewe? Wakitaja utathibitishaje ndio haswa na sio bandia? Anza kutaja jina lako kamilin wewe, uliko, unafanya kazi gani nk. Tukutambue.
Hakuna haja ya kutaja majina. Makombora ndio muhimu. Wachukue maoni yanayotolewa huku wayafanyie kazi. Kama wana mada tata waianike wapate mawazo. Sidhani kama jina litasaidia chochote. Hata hivyo wanawezajitokeza watu bandia wakijidai ni wanasiasa fulani. Utajuaje kama wanadanganya? Hoja tu...
MJJ INAELEKEA HUU MGOGORO HUJAUFUATILIA VIZURI. Ni kwamba Bashir alishashinikizwa na umoja wa mataifa asitishe mauaji darfur. Kuna resolution 1706 ya baraza la usalama ambalo lilizitaka nchi ntyingine kuweka vizuizi vya kibiashara Sudan ili Bashir aridhie. Lakini hili limekua resolution bubu...
He claims to stand for the people, let the people's court remind him of his responsibility.
Jitihada za kujisafisha hizi lakini ukurutu uliokolea kwa miaka mingi hauwezisafishwa kwa siku moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.