Kinondoni: ....Eti mtu mmoja ana viwanja 99... vya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinondoni: ....Eti mtu mmoja ana viwanja 99... vya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dark City, Jul 15, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kwenye taarifa za habari za TBC1 na dondoo za magazeti kuwa kati ya madudu ya ajabu ajabu yaliyokutwa kinondoni ni mtu mmoja anayemiliki viwanja 99! Kama ni kweli basi Watanzania tumezidi ulafi.

  Ila nadhani kuna mengi zaidi. Hapa tu jiwe limesogezwa pembeni, je likigeuzwa kabisa tutakuta nini? Ndo maana naamini kuwa Tanzania inaweza tu kwenda mbele ikiwa tu kila kitu kitasambaratishwa (overhauling the system).
   
 2. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Plus introducing accountability, responsibility and strengthening institutions......as well as sisi wananchi kuwabana viongozi wetu kwa madudu wanayoyafanya, sio kubaki tu tunanung'unika pembeni wakati nchi ni yetu.
   
 3. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali ilikuwa wapi? It is a shame.!
   
 4. lukenza

  lukenza Senior Member

  #4
  Jul 15, 2010
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wananchi tunalalamika pembeni pembeni kama hapa JF tukitegemea kuwa
  mabadiliko yatakuja kwa njia hiyo
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Serikali ipi? Wewe unadhani serikali isingekuwa sehemu ya huu uozo hayo yangetokea? Ndo maana walio wengi tuna mashaka na hii nguvu ya soda ya Lukuvi. Nadhani kinachoendelea ni utabiri wa watu wengi kuwa ukiweka kila takataka ndani ya kapu moja zitaanza kuunguzana kwani incompatibility itakuwa kubwa sana! Maisha bora yanawezekana wakishamalizana!
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Tumeamua kufuata 'ujamaa wa kibepari'! Katika 'ujamaa' wa namna hii hili halipaswi kuwa la ajabu.
   
 7. M

  Mndamba Member

  #7
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 22, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kinondoni: ....Eti mtu mmoja ana viwanja 99... vya nini?
  Mkuu mbona unauliza majibu. Baadae mtu huyu ataanza kuviuza kwa wa-TZ wengine kwa bei ya juu. Kuna msemo mmoja unasema kwamba mtu anakula anapofanyia kazi. Hii yote ni dalili za Ubinafsi.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo tatizo liko wapi? Kwani kuna sheria inakataza kuwa na viwanja vingi? Labda jamaa ana dreams za kuwa Donald Trump wa Bongo tuache wivu!!
   
 9. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #9
  Jul 15, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio tu kua jamaa ana viwanja vingi (94) Dar nzima, ila ktk plot iliyopimwa yenye viwanja 130, hivyo 94 kamilikishwa yeye.
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wewe naona hata hujui unachoandika. Hapa wivu uko wapi? Hebu some na hii hapa chini halafu utwambie kama hili ni jambo la kawaida!

   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mh... Interesting.... Bado wengine...
   
 13. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hebu iwekwe sawa hii. Si kuna viwanja Dar viliuzwa kwa tenda? kulikuwa na limit ya mtu kununua? Kama ni hivyo ,mm sioni shida hapa maana kila mmoja alikuwa na uwezo wa kununua as much as he/she could hata vyote kama hawakutokeza wanununzi prudent.
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sina hakika kama hilo limewekwa wazi kwamba kulikuwa na tenda ya wazi na huyo jamaa akashinda kihalali. Vinginevyo hii isingekuwa habari. Hata hivyo itakuwa vizuri kufahamu kama huyo mtu aliwasilisha mipango yake ya kuviendeleza hivyo viwanja vyote na pia kama alishafanya kitu tangu avinunue. Lakini sijui kama kwa Bongo open tender huwa ipo, vinginevyo Ubungo terminal ingeweza kuwa mikononi mwa mtu mwingine na siyo lazima ipewe familia ya mtu aliye karibu na ikulu!
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wangetutajia na jina..ushahidi si wanao au nae ni mnene mwenzao??
   
 16. emedichi

  emedichi Member

  #16
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeye ndo serikali
   
 17. M

  MJM JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hapa kuna kitu hakiko wazi, Viwanja 130 katika eneo moja, eneo la wazi au la mtu lililopimwa. Ninachojua mimi kwa mijibu wa sheria mpya ya Unit Titles mtu anaweza kuwa na hati ya eneo fulani akafanya sub division ya units (viwanja) nyingi kadri inavyowezekanavyo na akapewa hati za hizo units. Hivyo kama alikuwa analimiliki eneo hilo kihalali anaweza kuwa na viwanja vyote hivyo. Lakini kwa kujaza form moja moja ya kuomba viwanja haiwezekani nadhani wana JF mtakuwa mashahidi ya mbinde ya kupata kiwanja sehemu mpya zinazopimwa.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Sasa hili ndotatizo!!
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kwani kavunja sheria jameni?? mwacheni mwenzenu usikute anataka kujitangazia dola je???
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Dah! Nilikuwa sijaona tatizo la mtu kumiliki viwanja vingi mpaka nilipoisoma hii posti! Dah!
   
Loading...