Recent content by Emanuel Urassa

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Lakini sio 1.5 trillion
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Bunge kutokuwa mubashara

    Kweli achape kazi km 2yrs = 1.5 trillion hivyo tunafanya 10yrs ÷2 =5×1.5 trillion= ??????
  3. E

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa: Alichofanya Makonda ni kitendo cha kinyama

    Ukijaribu kuangalia kwa undani utaona hatuna sababu ya kuwa na TALGWU wala vyama vingine vya wafanyakazi kwa ujumla. Havina lolote.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

    Yanarekebisha hayo, kwani mikataba ya nyuma Mo alikuwa hajapewa timu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndege ni hatari sana ikitokea vita

    Hats JWTZ wanaweza hiyo wako ngerengere kawaida sana hiyo.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ukuta katika machimbo ya Mererani wazua utata

    Hatujajipanga, tatizo mara nyingi ni umasikini wa kufikiri, kusuluhisha jambo kwa njia zisizo sahihi na elimu za kuungaunga.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nilivyoingia sukari Ilikuwa Sh. 5,000/- sasa hivi imeshuka na itaendelea kushuka

    Sina imani km watz wana akili timamu, kwa speech hii duuu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipimeni kwa uwezo wa kujenga hoja sio uwezo wa kuishambulia Serikali

    Hivi hoja zinajengwa kwa kutuambia sukari 1 kg ilikuwa 5000 mwaka 205
  9. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kukimbiwa na Madiwani wake

    Wawadanganye mbulula wenzao
  10. E

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwake Mange Kimambi

    Ni mnyonge kwa alichotendewa Mh Lissu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa

    Kwanza futa neno fedha za umma, hii ilikuwa michango ya hiyari kutoka kwa wabunge wote. Hivyo si za serikali wala bunge(yaani ofisi ya spika). Hivyo swali lako lingefaa kujibiwa km muhimili bunge au serikali ingelitoa fungu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

    We cheza na ccm
  13. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Naomba kuwa makamu wa Rais
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

    Mwenye macho haambiwi tazama, ukicheza hata sungura utaambiwa ni tembo.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe Zitto Kabwe alishapokea ‘’mlungura’’ wa Barrick Gold, tutapona kama Taifa?

    Bora zito kuliko mkuu wa kambi
Back
Top Bottom