Sababu ya Bunge kutokuwa mubashara

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Wananchi muda mrefu tunadai Bunge liwe mubashara lakini bado wametia ngumu. Sisi wananchi ndiyo tuliwaweka madarakani lakini tukiwaeleza Bunge liwe mubashara mnatuona kuwa hatuna maana. Tatizo la 1.5 tr Bunge lingekuwa mubashara haya yote yasingetokea. Serikali jitahidini kutuamini mko hapo kwa sababu yetu sisi wananchi.
 
Bunge/Mahakama, taasisi mbili aminifu na tiifu kwa serikali. Watz tutasubiri saana tu.
 
Wananchi muda mrefu tunadai Bunge liwe mubashara lakini bado wametia ngumu. Sisi wananchi ndiyo tuliwaweka madarakani lakini tukiwaeleza Bunge liwe mubashara mnatuona kuwa hatuna maana. Tatizo la 1.5 tr Bunge lingekuwa mubashara haya yote yasingetokea. Serikali jitahidini kutuamini mko hapo kwa sababu yetu sisi wananchi.
Bunge kuwa live lingezuiaje hilo tatizo la 1.5t? Chapa kazi mkuu usililie bunge kuonyeshwa live
 
Kuna vitu hii nchi mpaka unatamani kuhama kwa mda, sema pa kwenda na nauli tu
 
Wenzako tumeshazila na kuongea.......acha wale wakishiba watulie....waishi...wafe....wafukiwe huko
 
Back
Top Bottom