Recent content by Elishaddai

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

    m Not Nape i know. or you are talking about whom? Nape is one of the very few civilized and concious ccm members. period
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nguli wa Sheria Kenya Patrick Loch Lumumba, ampongeza rais Magufuli

    mtizamo wake, nae ni binadam tu kama wengine, meaning he has emotions which is very difficult to conceal, although the time will speak up
  3. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kuapishwa kwa Donald Trump, rais wa 45 wa Marekani

    haitatokea Mkulu kufanana na Trump........
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

    Aibu kivip..... Fafanua, hisia zako zinakudanganya mtoa mada
  5. E

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia zapinga Mkuu wa mkoa kuwavua walimu mamlaka

    Sure. Wachukue madarasa ya mfano tuone watakachofanya
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

    [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

    Ebu irekebishe mkuu manake mm naiona sahihi
  8. E

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Si kweli
  9. E

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Mkuu huwezi tumia tamko la mtu mmoja au wawili ku generalize kwamba kanisa limebariki unywaji wa pombe, halaf pia huwezi tumia mijadala ya kwenye vikao kuweka consensus yako kwamba ni kanisa limesema.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

    Si kweli atakuwa kadanganya, we chunguza mkuu utapata majibu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

    Sielewi mkuu, ila ndivyo ilivyo, 1050 huna hufiki town
  12. E

    JamiiForums Tanzania Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

    Ni mtazamo wako, lakini mimi naliona taifa la Marekani likiendelea ku shine miaka mingi sana ijayo. Trump will make them great again
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

    Kweli walikosea sn kuondoa usafiri binafsi kabla ya kujipanga. Lakini pia gharama zake zimekuwa kubwa sana, mf toka mbezi hadi mjini gharama imepanda toka 600 mpk 1050 jambo litakaloumiza watu wa vipato vidogo
Back
Top Bottom