Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,120
- 15,622
Ahsante pole nawe
Kwa hiyo na wewe huwa una avoid possibilitu yoyte ya kupanda mwendo kasi eeh!?
Sikai huo upande wenye hayo ma bus. Kiherehere cha hiyo siku kiliniponza
Ahsante pole nawe
Kwa hiyo na wewe huwa una avoid possibilitu yoyte ya kupanda mwendo kasi eeh!?
OK Mkuu,basi kwa mwendo huo nadhani kama kutakuwa hakuna mabadiliko ktk hii Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi then hali itakuwa mbaya sana mbele ya safari.Huduma serikali inabidi ichangie lakini wao wamepunguza nauli badala ya kuchangia.
Hali itakuwa mbaya zaidi. Ukitaka kuona raha ya huo usafiri panda mida ya saa nne asubuhi na nane mchana. Zaidi ya hapo ni kero.OK Mkuu,basi kwa mwendo huo nadhani kama kutakuwa hakuna mabadiliko ktk hii Huduma ya Mabasi ya Mwendokasi then hali itakuwa mbaya sana mbele ya safari.
Hasa kero ya abiria kujaa sana vituoni ndani ya mabasi,kugombea kupanda n.k
HahahaSikai huo upande wenye hayo ma bus. Kiherehere cha hiyo siku kiliniponza
Mageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200
Hilo nalijua na nimeshapanda but hiyo hali saa NNE hadi saa nane ndiyo inatakiwa kuwa hata ktk peak time ya passengersHali itakuwa mbaya zaidi. Ukitaka kuona raha ya huo usafiri panda mida ya saa nne asubuhi na nane mchana. Zaidi ya hapo ni kero.
Mkuu sizani kama umeielewa point yanguu, mie mwenyewe pia ni mtumiaji mzuri sana wa mwendokasi kwanza nafika mapema toka kituo kimoja hadi Kingine, ila baada ya kuzuia mabus mengine bila kuwa na plan nyingine usafiri sasa umekua keroo maana wamezuia alternative nyingne wakati resources zao hazitoshi, hio ndio ilikua point yangu kwanini wasingesubiri had waagaize hayo mabus mengine ndio wafute leseni za madaladala ya kawaida haya malalamiko na usumbufu usingekuepo,Hakuna ustaarabu kwenye usafiri ule,jizoezeni mapema mambo ya digital,wabongo mmezoea sana shida,umezoea upigiwe kelele na mateja,ubanane na konda hajafua uniform
Hamna lolote aisee kero ni 24/7Hali itakuwa mbaya zaidi. Ukitaka kuona raha ya huo usafiri panda mida ya saa nne asubuhi na nane mchana. Zaidi ya hapo ni kero.
Si walisema feeder+trunk nauli 800 inakuaje imekua 1050 tenaaKweli walikosea sn kuondoa usafiri binafsi kabla ya kujipanga. Lakini pia gharama zake zimekuwa kubwa sana, mf toka mbezi hadi mjini gharama imepanda toka 600 mpk 1050 jambo litakaloumiza watu wa vipato vidogo
Kinyume na matarajio hali ya usafiri morogoro road kwa sasa imekua ni kero!
Na hii imeleta hadi msongamano mkubwa vituoni na kwenye mabasi,haya week end tunaambiwa gari hupunguzwa wakati ndio fursa ya wengi kutumia usafiri huo,matokeo yake saa hii saa ni 1:30 jioni tumejazana kituoni posta yanatupita yakiwa tupu yaani hawapakii! Yanayopakia likisimama hata pa kutia mguu huoni!sijui hili mwisho wake lini?kwanini sumatra mmeondoa gari za binafsi mapema?tunteseka Sanaa!