Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

Mkuu sizani kama umeielewa point yanguu, mie mwenyewe pia ni mtumiaji mzuri sana wa mwendokasi kwanza nafika mapema toka kituo kimoja hadi Kingine, ila baada ya kuzuia mabus mengine bila kuwa na plan nyingine usafiri sasa umekua keroo maana wamezuia alternative nyingne wakati resources zao hazitoshi, hio ndio ilikua point yangu kwanini wasingesubiri had waagaize hayo mabus mengine ndio wafute leseni za madaladala ya kawaida haya malalamiko na usumbufu usingekuepo,
Tatizo nauli ni ndogo kiasi kwamba wakisema wayaendeshe kistaarabu na kwa kutokujaza Abiria basi watapata hasara. Serikali ilitakiwa itoe Ruzuku kwenye huu mradi kama vile kuwapunguzia kodi au kuwaondolea kodi kwenye Mafuta. Na kingine UDART wanatakiwa waongeze kadi ili kupunguza foleni za kukata tiketi, pili Polisi wawekwe kituoni ili kusimamia ustaarabu wa kupanda na kushuka.
 
Leo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!
Bila shaka wewe ulikuwa mtalii wa ndani,
 
Huko kwenye mwendo kasi kama kwenye management kuna wahindi basi ni sawa haya matatizo kutokea maana watahakikisha gharama za uendeshaji zinapungua kwa gharama zozote zile.
Kama ni mzungu hajapa ushauri
Wote wa Tanzania mkuu
 
Back
Top Bottom