Taasisi za kiraia zapinga mkuu wa mkoa Mtwara kuwavua waalim 63 mamlaka.., kiuhalisia nadhan watawala wanaharibu sana elimu yetu maana wanajipa mamlaka makubwa sana na sidhan kama kikatiba kama wapo sahihi.
Mchi haieleweki sababu watu wanadhan nchi inaweza kuongozwa bila kufuata katiba na sheria ,,hawajui watu walisha jaribu kutawala bila katiba wakaona mabo hayaendi yanaingiliana kila mara yanachanganyana ndio maana hata vikundi vya vikoba vya kina mama vina katiba na wanaifuata na kuiheshimu katiba yao na mambo yanaendaTaasisi za kiraia zapinga mkuu wa mkoa Mtwara kuwavua waalim 63 mamlaka.., kiuhalisia nadhan watawala wanaharibu sana elimu yetu maana wanajipa mamlaka makubwa sana na sidhan kama kikatiba kama wapo sahihi.