Recent content by Elie Chansa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

    Hahahah
  2. E

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Reputatiom ya PayPal hainipi kuwa na wasiwasi. Na refunds nimeshapokea mara kadhaa na zinarudi kwenye local account (Stanbic) bila tatizo lolote. Changamoto inaweza kuwa kwa baadhi ya benki ambazo hazina ease of acces kuruhusu imtegration ya PayPal. Safe and reputable. Sent using Jamii Forums...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Ngeli

    Mkuu, hiyo ni i-zi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Vodacom kifurushi cha siku Sh. 500,000/= wizi mtupu

    Mkuu, Pole kwa maswahibu. Nina maswali mawili. 1. Umecheki kuona kama sio Automatic Windows Updates ndo zinamaliza kifurushi chako? 2. Mfumo unaoconnect nao unakuonyesha mita za matumizi? Maana kwa hapa utaweza kuona bandwith kiasi gani imetumika ndani ya muda gani. Hiki kinaweza kuwa kipimo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kero: Bango la matangazo round about kwa Kakobe

    Binafsi mabango ya namna hii yananisumbua sana kupita maelezo. Ukiwa unatembea tu utashindwa kuona mbele kwa kuwa lina mwanga mkali mno. Sasa wa kwenye magari ndio kuna tabu hasa. Yafaa jambo lifanyike...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa, hii yawahusu

    Bless you
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Magodoro na Jini, walifikiria nini!?

    Hilo tangazo ninalishangaa kila leo, hiyo dhana sijui wameitoa wapi.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Photographers' Corner

    Shot: Landing Gear Camera: Canon 550D Focal Length: 250mm (EF-S 55-250mm f/4-5.6 IS II) ISO: 100 Exposure: 1/640 Location: Selander Brigde, Dar es Salaam. Shot: Sister Peaks Camera: Canon 5D Mark III Focal Length: 105mm (EF 24-105mm f/4.0 IS L) High Dynamic Range Location: Himo Weigh Bridge...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wewe Uliyebuni Tangazo Jipya Hili La Airtel Heko Sana Na Nimekukubali Mno Kwa Mautundu Yako!!!!

    Yani ndo ringtone yangu hii. Nalipenda mno tangazo.
  10. E

    JamiiForums Tanzania TCRA mna kazi gani?

    Ahsante Mnyalu. Umezungumza kwa niaba yangu pia.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Airtel nao wale wale, hakuna afadhali

    Tanzania inanisikitisha sana.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    Huwa nasita kusoma vitabu vyake, maana nikianza sitaki kuacha. Na nikiwa nasoma naanza kusikitika - nasikitika kwamba kadri ninavyosoma ndivyo ninavyokaribia kumaliza kurasa. The man has been an inspiration to many, hasahasa mimi. Hizi ni baadhi ya nakala nilizofanikiwa kutunza baada ya...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Niambie chochote cha kunijenga.

    Hii ilinijenga, natumai pia utajengeka. Japo ni tangazo.
  14. E

    JamiiForums Tanzania tofauti kati ya devil na evil

    The devil does evil. Shetani hufanya uovu/maovu.
  15. E

    JamiiForums Tanzania 13 Interesting Facts About Canada that may be you don't know

    Thanks for sharing mkuu, nimependa hasa linguistic error.. doh! Ukituwekea na source, utang'arisha zaidi mkuu. asante.
Back
Top Bottom