Kuna tangazo moja kwenye TV linatangaza magodoro fulani, ndani ya hilo tangazo kuna watu wanaongea na jini, eti liwapatie godoro!
Mimi wanangu nimewafundisha kuwa jini ni mashetani! Sasa hawa wanatuletea matangazo ya kuwapromote majini! Hivi ni vitu gani hivi?
Kampuni husika walitafakari kweli kabla ya kulitengeneza au kulinunua tangazo hilo! Au kuna watu wanafikiri tofauti kuwa majini ni watu na si mashetani!