Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Ujumbe umewafikia.
Hilo la kuweka picha za mkeo ofisini, itategemea ni ofisi gani mkuu!!! Wewe umeajiriwa kwenye kampuni ya wa tu ndo ukaweke picha ya mkeo utafikiri ofisi nzima ni yako? Hiyo itakuwa ni ofisi isiyokuwa na personnel manager!!!
tatizo kuna midada hata uje kazini na mkeo bado watakutega tu....in short jitambue weww ni kichwa cha familia (cheo ulichoapishwa na Mungu) and respect your spouse.
nani kakudanganya? wanaume wenye wake siku hizi ndiyo wanatafutwa! karagabaho.Kwa hakika kuna changamoto nyingi ambazo huwa wakinababa, ama kwa ufasaha waume wa watu huwa wanapitia kwenye maeneo tofauti tofauti katika shughuli za mihangaiko.
Huenda ndio kwanza umepata ajira mpya, na hapo ukakutana na kinadada warembo ambao hata wanaweza kumfanya mtu avunje shingo. Kwa vyovyote vile msimamo wako wahitajika, kuungana nao ama kujipambanua kama mume wa mtu kwa mumtaja mkeo na watoto wako, katika lugha ambayo watarudi nyuma tu.
Baadhi yenu tayari yawezekana mmeshazoeana na wafanyakazi wenza kiasi hata cha kuongea na kutaniana katika hali ambayo sio sahihi, ama kwa urahisi - lugha ambayo usingeweza kuongea iwapo mkeo ama kiongozi wako kanisani angekuwepo eneo hilo. Kama ndivyo basi, mwanaume ukumbuke kuwa wewe ni kiongozi, rejea katika hali yako bila kuterereka.
Kuna mifano mingi ambayo haijaandikwa hapo, lakini umeshuhudia ikikutokea ama kwa rafiki yako wa karibu. Kama iliyoandikwa hapo haijakutokea, hebu tafakari hata namna ambavyo huwa unazungumza na mhudumu wa supermarket, mwanadada wa mapokezi hotelini, ama hata unapokwenda kula mgahawani, huwa unaongeaje? Ama pia kama wewe ndio uko mapokezi hotelini ama guest house, huwa unaongea kwa namna gani?
Baada ya kusema hayo, ni vema sasa tukatazama mambo matano ambayo kila mwanaume aliyeoa anatakiwa kufanya awapo mbele ya kinadada ambao hawajaolewa, kama ambavyo Gospel Kitaa imenukuu kutoka Charisma News.
1. Hakikisha pete yako ipo ON;
Licha ya kwamba kuna sehemu ambazo pete hutakiwa kuvuliwa, mathalani pale ambapo unaendesha mitambo mikubwa, na sehemu nyinginezo. Inapotokea upo sehemu ambapo kusanyiko la watu waliopo litakufanya ujifikirie kuivua ama kuiacha pete yako kidoleni, ondoka na ukimbie upesi sehemu hiyo.Kiapo chako, ndoa yako, watoto wako and vingine vingi vyote vinategemea maamuzi yatakayofanya hapo. Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia;... Luka 16:10 imeeleza.
2. Weka picha za mkeo ofisini kwako
Iwapo uko katika mazingira magumu (umezungukwa na kinadada single, tena warembo) ni busara kuweak picha kadhaa za wewe pamoja na mkeo, hasa wakati ambao mlikuwa mnaenjoy, "fun moments" pamoja. Kwanza hilo litakukumbusha kwanini unampenda mkeo, na pia itawafanya kila wakiingia ofisini kwako wakutane nazo, na kuwafanya waelewe kuwa mnapendana. Picha hizi angalau uwe unazibadili mara kadhaa, na maana yake ni kwamba mahusiano yenu yako vizuri, atakayekuja na kukuta picha nzuri tofauti tofauti, donge lake litamuua mwenyewe. Unigeuze macho yangu, nisitazame visivyofaa... Zaburi 119:37.
3. Epuka macho kwa macho muda mrefu
Hapa haina maana kwamba uwe unaongea huku humtazami mtu kabisa, la hasha. Ila ni kwamba unapomtazama mtu, macho nayo huongea, kwahiyo inategemea umemtazama kwa namna gani. Kama ukivaa sura ya kazi, basi mambo yote yataenda vema, ila unapotazama kitofauti - ni kama vile unamkaribisha kwa mambo mengine. Hivyo ni vema kuwa makini unaposafirisha macho yako kwake, usije ukaishia kuzini nae. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. Mathayo 5:28.
Lecture inaendelea zaidi hapa;
Gospel Kitaa: MUME WA MTU, FANYA HAYA MBELE YA WANAWAKE SINGLE, UJINUSURU
...loh! na kila mtu amtazamaye mwanaume kwa kumtamani je?
Hilo la kuweka picha za mkeo ofisini, itategemea ni ofisi gani mkuu!!! Wewe umeajiriwa kwenye kampuni ya wa tu ndo ukaweke picha ya mkeo utafikiri ofisi nzima ni yako? Hiyo itakuwa ni ofisi isiyokuwa na personnel manager!!!
unafanya kazi wapi?!! sijawahi kuskia ofisi inakuzuiya kuweka picha ya familia yako mezani au juu ya shelf?!!! personalization ya ofisi inakufanya urelax na kuwa na mood; kama wewe ndiyo manager na unazuiya hali hiyo basi ndugu yangu rudi shuleni ukajiupdate.
Nafikri hujaelewa unachobishania!!
Haya ndo yanayowagharimu ninyi .com mpaka mnapoteza kazi kwa upuuzi huu. Kwa nini kama picha ya mkeo na familia yako usiweke kwenye Laptop yako ili hata ukiwa kazini unakuwa nayo. Sasa wewe mburura ukabandike picha ya mkeo kwenye ofisi ya watu? Mwingine kwa ujinga huo niliwahi kumshuhudia ameweka picha za familia kwenye computer ya ofisi, sasa hiyo inalipa kweli? Upuuzi!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hakika kuna changamoto nyingi ambazo huwa wakinababa, ama kwa ufasaha waume wa watu huwa wanapitia kwenye maeneo tofauti tofauti katika shughuli za mihangaiko.
Huenda ndio kwanza umepata ajira mpya, na hapo ukakutana na kinadada warembo ambao hata wanaweza kumfanya mtu avunje shingo. Kwa vyovyote vile msimamo wako wahitajika, kuungana nao ama kujipambanua kama mume wa mtu kwa mumtaja mkeo na watoto wako, katika lugha ambayo watarudi nyuma tu.
Baadhi yenu tayari yawezekana mmeshazoeana na wafanyakazi wenza kiasi hata cha kuongea na kutaniana katika hali ambayo sio sahihi, ama kwa urahisi - lugha ambayo usingeweza kuongea iwapo mkeo ama kiongozi wako kanisani angekuwepo eneo hilo. Kama ndivyo basi, mwanaume ukumbuke kuwa wewe ni kiongozi, rejea katika hali yako bila kuterereka.
Kuna mifano mingi ambayo haijaandikwa hapo, lakini umeshuhudia ikikutokea ama kwa rafiki yako wa karibu. Kama iliyoandikwa hapo haijakutokea, hebu tafakari hata namna ambavyo huwa unazungumza na mhudumu wa supermarket, mwanadada wa mapokezi hotelini, ama hata unapokwenda kula mgahawani, huwa unaongeaje? Ama pia kama wewe ndio uko mapokezi hotelini ama guest house, huwa unaongea kwa namna gani?
Baada ya kusema hayo, ni vema sasa tukatazama mambo matano ambayo kila mwanaume aliyeoa anatakiwa kufanya awapo mbele ya kinadada ambao hawajaolewa, kama ambavyo Gospel Kitaa imenukuu kutoka Charisma News.
1. Hakikisha pete yako ipo ON;
Licha ya kwamba kuna sehemu ambazo pete hutakiwa kuvuliwa, mathalani pale ambapo unaendesha mitambo mikubwa, na sehemu nyinginezo. Inapotokea upo sehemu ambapo kusanyiko la watu waliopo litakufanya ujifikirie kuivua ama kuiacha pete yako kidoleni, ondoka na ukimbie upesi sehemu hiyo.Kiapo chako, ndoa yako, watoto wako and vingine vingi vyote vinategemea maamuzi yatakayofanya hapo. Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia;... Luka 16:10 imeeleza.
2. Weka picha za mkeo ofisini kwako
Iwapo uko katika mazingira magumu (umezungukwa na kinadada single, tena warembo) ni busara kuweak picha kadhaa za wewe pamoja na mkeo, hasa wakati ambao mlikuwa mnaenjoy, "fun moments" pamoja. Kwanza hilo litakukumbusha kwanini unampenda mkeo, na pia itawafanya kila wakiingia ofisini kwako wakutane nazo, na kuwafanya waelewe kuwa mnapendana. Picha hizi angalau uwe unazibadili mara kadhaa, na maana yake ni kwamba mahusiano yenu yako vizuri, atakayekuja na kukuta picha nzuri tofauti tofauti, donge lake litamuua mwenyewe. Unigeuze macho yangu, nisitazame visivyofaa... Zaburi 119:37.
3. Epuka macho kwa macho muda mrefu
Hapa haina maana kwamba uwe unaongea huku humtazami mtu kabisa, la hasha. Ila ni kwamba unapomtazama mtu, macho nayo huongea, kwahiyo inategemea umemtazama kwa namna gani. Kama ukivaa sura ya kazi, basi mambo yote yataenda vema, ila unapotazama kitofauti - ni kama vile unamkaribisha kwa mambo mengine. Hivyo ni vema kuwa makini unaposafirisha macho yako kwake, usije ukaishia kuzini nae. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. Mathayo 5:28.
Lecture inaendelea zaidi hapa;
Gospel Kitaa: MUME WA MTU, FANYA HAYA MBELE YA WANAWAKE SINGLE, UJINUSURU
Full of TITO and GIGO i.e Trash In Trash Out and Gabbage In Gabbage Out...............Hopeless Fellow indeed!!!!!!!!!!!!!