Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 760
Salim Bakora sheikh inaonyesha umechukizwa kiasi kwamba umejikuta unashusha hasira zako kwa mtu asiyehusika me Geechie sio vodacom,hiyo post uliyoirespond haikuwa inakujibu wewe bali inaonyesha mapungufu ambayo Voda wanayo,we ulikuwa na malalamiko yako nami nikawa na malalamiko ya jinsi wanavyotuingiza gharama kununua vifurushi,Namba yangu ni 0754 84 33 88 nina balance ya airtime ths 1,520,882/= na ujumbe wa jana kwamba nimepatiwa kifurushi cha elfu tisa bado ninao; msiwe na mawazo ya kimasikini kila siku, angalia hoja na misingi yake sio kukurupuka
Jambo unalopaswa kuzingatia ukiwa na Tatizo tafuta suluhu sahihi usipanic kama ulivyoibuka hapa na kujibu thread ambayo hata haikuhusu Bila kujua aliendika nae alikuwa anawasilisha frustrations zake Vodacom.