Kitambulisho cha taifa(Nida) Ni moja ya kipande kinachomtambulisha mtanzania au raia wa taifa lolote. Hapa tanzania kumekuwa na changamoto kwenye upatikanaji wake, serikali katika hili ilichelewa kwani kuna watu wazima ambao wana wajukuu wengine wamezeeka hadi kufariki pasipokukipata hata...
Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?
Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.
Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana...
Habari za uzima wana jukwaa natumai hamjambo kabisa,
Nataka kuanza biashara ya duka la mtandao(kama kikuu)
Natamani kujua gharama za kufungua kampuni inayohusika na shughuri hii(kisheria)
Pia nahitaji kujua taratibu za kufuata.
Nahitaji kujua mtaji unahitajika kama kuanzia kiasi gani.
Utalaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.