Mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi

Apr 24, 2015
96
71
Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?

Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.

Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana kama zilivo katuni za Lango?

Nahitaji kujua tatizo ni elim\utundu au ni vifaa tulivyonavyo?.

Tufanyaje ili kuboresha?
 
Ujuzi upo ila hivyo vifaa vya ku render hayo makitu acha tu .lakini wapo watu wa kutengeneza character wazuri tu.
Mfano kipepe pimbi madenge kadogo kingo ndumilakuwili wangekuwa animated huo moto wake si wa nchi hii
Kweli aisee niliwahi ona jinsi wanaandaa CGI za Moana aisee hizo computer speed yake ni hatari na specification zake hazielezeki.
 
Hakuna animation nzuri duniani kama Rango....wale jamaa hata walioigizia sauti tu wanajua 210%
waliotunga script dah ni mwisho...
utadhani ni kweli kumbe ni animation
mtu anaingizia hadi chafya,kukohoa,kusafisha koo,kupumua kwa stress,kuvuta hewa kwa majigambo nk nk. vitu ambavyo huwez hata kuvifikiria

Movie bora kuwaahi kutengenezwa in my view
1.Django
2.Rango
 
Binafsi nimeikubali Hii animated movie ya RAngo....wasomi ni wasomi tu yaani....bongo kungekuwa na idea ya kuwatengenezea animation kina komrade, madenge n.k ingekuwa poa sana yaani
 
Binafsi nimeikubali Hii animated movie ya RAngo....wasomi ni wasomi tu yaani....bongo kungekuwa na idea ya kuwatengenezea animation kina komrade, madenge n.k ingekuwa poa sana yaani
Watu wanaweza baba ila hizo equipment wacha.
Mimi ni artist na nimewahi kufanya a shortie moja na jamaa wa uk ya 15minutes ina somew animation location Zanzibar shooting fifteen days but kuifanyia editing and stuff 1 year !laptop ya bei rahis kabisa walizo nazo ni 10m
Tafuta hawa jamaa factor fifteen na shortie niliyohusika nayo inaitwa "jonah"
Inahusu athari za utalii kwa developing countries . Ilishinda sun dance film uk.
Humo yumo Dan kaluuya wa get out na ile series ya mr bean john the english
Yupo malacky kirby anayefanya remake ya roots.
Na yupo mzee louis mahoney(rip)amefariki mwaka huu kama 2months huyu ame shiriki movies kadhaa za james bond original.
Watu wengi hawakujua hii kwa sababu contract ilikuwa kulinda privacy zao na ili kuwa non commercial short movie.
 
Hakuna animation nzuri duniani kama Rango....wale jamaa hata walioigizia sauti tu wanajua 210%
waliotunga script dah ni mwisho...
utadhani ni kweli kumbe ni animation
mtu anaingizia hadi chafya,kukohoa,kusafisha koo,kupumua kwa stress,kuvuta hewa kwa majigambo nk nk. vitu ambavyo huwez hata kuvifikiria

Movie bora kuwaahi kutengenezwa in my view
1.Django
2.Rango
Kuna wale Bundi mwanzoni kabisa.''Welcome Amigo''
 
Attachments

  • 1602693215831.png
    1602693215831.png
    509.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom