Mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi

Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?

Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.

Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana kama zilivo katuni za Lango?

Nahitaji kujua tatizo ni elim\utundu au ni vifaa tulivyonavyo?.

Tufanyaje ili kuboresha?
Mimi ni msanii kwa fani yangu.

Hili ulilolileta hapa ni kweli lakini bahati mbaya ni kwamba huko mitaani wapo wasanii wanafanya 2D na 3D zimetulia sana lakini media zetu hawana muda nao hivyo siyo rahisi wengi kuonekana kama hizo unazozzisema.

La pili ni kwamba, eneo la animation bado halijapewa kipaumbele kwenye mitaala yetu hivyo wengi wakionekana wana uwezo wananyakuliwa na wenzetu nchi zilizoendelea wakawatengenezee katuni-mwendo na kuja kuziuza kwetu....

Fuatilia Disney utakuta wapo Watanzania huko
 
Panya:"whats the matter,you missing your mommy's mangoes??"

Rango:"As a matter of fact I am,but not as much as your daddy's cooking...."

Panya:"exactly where did you say your from?"

Rango:"Me? Im from the west...out there beyond the horizon..So No,my haisome little rodent friend, I am not from round these parts...You might say Im from everywhere there's trouble brewing and hell waitin' to be raised..You might say I'm what hell's already raised up...The Name is Rango"
Rango nimeiangalia zaidi ya Mara 10 na sichoki kuirudia. Hizi fani tuwaachie wazungu tu.
 
Tatizo ni Vifaa na teknolojia, wakenya na wanigeria pia wana changamoto hii

Wana story na narrations nzuri ila hawawezi kuanimate kwasababu ya umasikini wa Vifaa na teknolojia
 
Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?

Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.

Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana kama zilivo katuni za Lango?

Nahitaji kujua tatizo ni elim\utundu au ni vifaa tulivyonavyo?.

Tufanyaje ili kuboresha?
Ungetupua kamoja au tuwili maana mi mgeni mtaa huo
 
Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?

Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.

Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana kama zilivo katuni za Lango?

Nahitaji kujua tatizo ni elim\utundu au ni vifaa tulivyonavyo?.

Tufanyaje ili kuboresha?
 
Hapo hajakuelewa muambie hivii gharama za kujenga kiwanja cha taifa Dar es Salaam ( kwa mkapa ) ni dola mil 53 ... kutengeneza animation ya rango ni dola mil 135 maana yake ni viwanja viwili vya taifa na chenji ya kujengea Barabara ...
hatari
 
Naonba kuuliza eti mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi kutengeneza katuni zinazomove kama mtu kabisa?

Mbona Tommy And Jerry ziko bomba japo inasemekana ni zazamani sana.

Tunawezaje kuboresha ili ziwe na mvuto sana kama zilivo katuni za Lango?

Nahitaji kujua tatizo ni elim\utundu au ni vifaa tulivyonavyo?.

Tufanyaje ili kuboresha?
Labda zitakuwa bomba CCM ikiondolewa madarakani kwa kupitia sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom