Mbona katuni zetu hazina mvuto kabisa na ziko tofauti yaani hazichezi(hucheza kwa kuvunjikavunjika) tuna feli wapi

Bajeti mzee baba, mimi pia nilisoma 2D na 3D animation, ila implication yake ndo utata mpaka sasa nishaifuta kichwani.
hata clip ya sekunde 5 hawawezi??inahitaji bajeti kubwa??

Kuna mwamba humu Jf alisema anaweza kutengeneza animation...nkamwambia kuntengenezea animation ya music video kama ule wimbo wa partynextdoor ft. Drake-Loyal

Akasema nimgei 1M anatengeneza
kuna ukweli hapo bwashee?
 
Ni sawa , ili kupata vitendo halisi atalazimika kutumia motion capture devices
 
dah scene za kukumbuka ni nyingi.
wale bundi
alipokimbizwa na mwewe jangwani
alipoingia bar(my favourite)
alipopigana na mwewe na kumuua
walipoenda kuchukua maji j5 wakakosa
aliporuhusu maji yaibiwe benki
walipowafukuzia wezi wa maji
alipopigana na nyoka Jake
Thirsty brother!!! :D :D :D :D :D :D
 
Thirsty brother!!! :D :D :D :D :D :D
Panya:"whats the matter,you missing your mommy's mangoes??"

Rango:"As a matter of fact I am,but not as much as your daddy's cooking...."

Panya:"exactly where did you say your from?"

Rango:"Me? Im from the west...out there beyond the horizon..So No,my haisome little rodent friend, I am not from round these parts...You might say Im from everywhere there's trouble brewing and hell waitin' to be raised..You might say I'm what hell's already raised up...The Name is Rango"
 
Tatizo ni bajeti ndiyo unasumbua, hiyo kazi yahitaji uwekezajj wa kutosha, hapa filamu zenyewe bado ni shida ndiyo tuje kuinuka kupitia animation.. Hizo ni ngumu na zinahiyaji maandalizi makubwa kuliko filamu.

Kinachokwamisha hapa Tanzania kwenye filamu hadi hizo ni bajeti tu.
 
Panya:"whats the matter,you missing your mommy's mangoes??"

Rango:"As a matter of fact I am,but not as much as your daddy's cooking...."

Panya:"exactly where did you say your from?"

Rango:"Me? Im from the west...out there beyond the horizon..So No,my haisome little rodent friend, I am not from round these parts...You might say Im from everywhere there's trouble brewing and hell waitin' to be raised..You might say I'm what hell's already raised up...The Name is Rango"
Caller tune hiyo ya kibabe sana
 
Lazma ujue kwamba animation zinatofautiana. Kama ufahamu hiki kitu unaweza kuhisi kuna wengine wanakosea.
Unaweza ukawa na preference binafsi lakini kama kitu hukipendi haimanishi wamekosea.
 
rango?

budget ya rango ni usd 135 million sawasawa na kama billion 300 za kitanzania.

unayo hiyo budget?
Hapo hajakuelewa muambie hivii gharama za kujenga kiwanja cha taifa Dar es Salaam ( kwa mkapa ) ni dola mil 53 ... kutengeneza animation ya rango ni dola mil 135 maana yake ni viwanja viwili vya taifa na chenji ya kujengea Barabara ...
 
Back
Top Bottom