Recent content by Eliakim Thomas

  1. Eliakim Thomas

    EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

    Ndio maana ikaitwa redio za burudani yaani kwa kila kitu kwao ni burudani na leseni yao inawaruhusu kufanya hivyo kwa hiyo ukitaka kusomewa magazeti vizuri nenda tbc,redio one, chanel ten na nyingine nyingi tu zipo sio lazima hizo kama zinaku kera.
  2. Eliakim Thomas

    Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

    Mimi nishauri ili jam ipungue jijini Mwanza wangetengeneza ile barabara ya mkuyuni kutokea Mwatex au kwa jina la Nilepirch road inge saidia sana maana mtu anaenda kuanzia mitaa ya neshno,mwatex,Igoma na kuendelea nilazima aingie mjini ndipo atoke kwenda hayo maeneo sasa inakuwa jam sana wakati...
  3. Eliakim Thomas

    Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

    Magari ya siku hizi nikosa la jinai fundi kutumia ufundi wake kuhisi mahali panapo kuwa na shida au kupigia ramli ungepeleka kwa kupima na mashine kujua ugonjwa unakubalije kutubiwa bila ya vipimo zama zile zimepitwa na wakati mkuu
  4. Eliakim Thomas

    TBC 1 ni kweli sikio la kufa halisikii dawa?

    Mara ya mwisho kuangalia TBC ni siku walipo mwondoa Tido
  5. Eliakim Thomas

    Mawifi loving ruksa lakini ukweli wa mambo kaka yenu amependa

    Nihivi kama mapenzi acha yanipite tu lakini siwezi fanya huu ujinga nitafute pesa ya kujikimu maisha yetu halafu yeye eti amekaa tu nani mzima duh ; hapo sasa moyo sio sukuma tena damu ni moyo sukuma chapati .Dunia nishushe .
  6. Eliakim Thomas

    Naomba Kufahamishwa Jina la Wimbo

    Subiria wenyewe waje
  7. Eliakim Thomas

    Nataka nikope Tsh milioni 10 SACCOS ninunue gari. Niambie uzoefu wako ulivyokopa pesa na kununua gari

    Unaweza kulipa maana kama mshahara take home ni m1 poa changa mkia furusa maana usafiri nao una umuhimu.
  8. Eliakim Thomas

    Utumishi watoa waraka wa mavazi kwa watumishi wa umma

    jeans sio vali la heshima? wakati hata marais huvaa suruali hizo
  9. Eliakim Thomas

    Unyonyaji wa Vodacom umekithiri

    mim laini yangu ya voda nimeifanya yakupokelea sim tu nasikupiga sim wala ya kuingia net kwa herin voda
  10. Eliakim Thomas

    BATCO NA FRESTER mumeshindikana

    zakaria toka enzi yard yake hukosi mabus mapya kila kukicha batco anauzaga sema watu hawafuti majina ndio unaona nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Eliakim Thomas

    From Aggrey Mwanri with love.. Down the lane memory

    kwa yeyote mwenye hivyo vitabu kwa gharama yeyote ile tuwasiliane humu navitafuta sana tena tu
  12. Eliakim Thomas

    Jabiri Kigoda akamatwa na magari matatu ya wizi

    huu msimu tutaona na kusikia mengi
Back
Top Bottom