Wakuu msaada namna ya kutoa hela meridian,nilibet kiutani tangy mwez wa 8 nikaenda chaka Leo naangalia nakuta nmekula kama kilo mbili HV nmeshindwa kuitoa.nikitoa inarud
Wakuu habari za hapa,natumaini mko salama.Wakuu kuna watu wananifuata inbox face book na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe.sasa mpaka naileta kwenu hapa in kqamba naogopa kuingia choo cha like.Japo nimegoogle lakini bado sijapata shuhuda anitoe wasi wasi.In hayo tuu wakuu.
Wakuu habari za hapa, natumaini mko salama,
Wakuu kuna watu wananifuata inbox facebook na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe. Sasa mpaka naileta kwenu hapa in kwamba naogopa kuingia choo cha kike.Japo nimegoogle lakini bado sijapata shuhuda anitoe wasi wasi.
Ni hayo tuu wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.