Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,180
- 24,798
Alimuua shetani..Nishashududia mtu anakuf kwa kutopelekwa hospital mpka ikawa too late eti wanamwambia aombe tuu. Mwingine ameambiwa asimshitaki mdeni wake polisi. Yaani hawa jamaa story zao ni kama mchezo wa kuigiza lakini ndo wanafanya kweli.
Mbali na majina yao maa. Mamlaka , sijui utukufu. Na jamaa marehemu Munuo aliwaambia alishamuua shetani tangu 2008 so wanakula bata tuu kusubiri kuingia Paradiso. Hawa jamaa ni shida




