Uko sahihi kabisa sema tu kuna kitu kimoja umekisahau na ambacho ndo kinatesa ndoa nyingi leo
Siku hizi mwanamke unaweza kuwa mtii kwa mumeo,ukamfanyia kila kitu ila atakukosea heshima mno kwa kuwa na michepuko ya kila aina tena bila hofu!
Kwa hali ya kawaida hii huleta maumivu makubwa sana kwa...
Kwa experience ya ndoa ambazo naziona huyo kapigwa tukio tu bana
Wanawake kutaka kumrusha roho mume wa ndoa si kazi rahisi wengi hawafanyi hayo ukiona hivyo ujue kumewaka tu sema anatumia busara asiyamwage kwako pengine anaona soo kutiririka mambo yake
Huyo atakuwa kapigwa matukio double double na mmewe sasa anataka kumuonyesha kuwa na yeye mrembo hata wa nje wanampenda ndo anataka akutumie wewe kumrusha mmewe
Ukikubali kitakupata kitu manake wanaume wanapenda wachepuke wao tu na sio wake zao!In short mkimbie huyo bibie
Kama umemuoa then anakosa ham ya tendo ujue ana stress kichwani ambazo huzijui na hajapata suluhu bado au pengine unamfanya zaidi ya uwezo wake wa kustahimili so anaboreka au pengine humridhishi kabisa so anaona unampaka shombo tu!na kama hujamuoa ujue huyo mwanamke hakufeel wala nini kuna...
Tena inaonekana wewe ndo ungekua huyo mama ungeshamuagizia gunia la mkaa umchome!
Wakati unampa na mmeo nae anapewa huko
Asa huo mda wa kumpa huyo bora ungeomba Mungu ile list ya wanaompa mmeo ipungue
Huyo dada ameongea ukweli
Naamini wengi humu mmeandika based on your experiences lakini wanawake wa hivyo wapo tena wengi tu shida ni kuwa huenda hujawahi kukutana nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.