Recent content by El-Mayore

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la mtu ambalo limekaa kiajabu ajabu unalolijua?

    Wewe ndio umeua kabisa [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msumbiji ni hatari kwa usalama wa wageni kuliko Afrika Kusini

    Sio gari moja ni mengi zaidi ya 10 yamechomwa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

    Mungu asaidie wauzime maana naona zimamoto nyingi zimeelekea huko maana ni hatari sana eneo lote hilo ni mafuta na gesi maana hapo kuna tiper Na oryx na taifa gass wote wapo jirani
  4. E

    JamiiForums Tanzania Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

    Amjad khan aka gabbar singh katika sholay
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

    Umesahau energy drink inayoitwa power asili
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya wanyonge? (Weak, hopeless, & downtrodden)

    Huo ndio ukweli maana msema kweli ni mpenzi wa mungu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Asante mkuu lakini hiyo ilikuwa vita vya iraq na iran(ayatollah khomeini v/s saddam hussein) na mimi nimezungumzia wakati wa vita vya invassion of kuwait na jamaa akatangazia dunia kwamba kuwait ni jimbo lake la 19 na marekani na washirika wake wa nato na baadhi ya nchi Za kiarabu wakamtaka...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    Kiko kids -salim zahoro Tabora
  9. E

    JamiiForums Tanzania Siku Mwalimu Nyerere alipotua Baghdad na kumfokea Saddam Hussein

    Ni kweli mwalimu alikwenda baghdad kuonana Na saddam kwa sababu ya kumsihi aepushe vita na wazungu na wakati huo tayari mwalimu alikuwa ameshastaafu urais alikwenda huko Kama kiongozi wa ujumbe wa nchi wanachama wa nchi zisizofungamana Na upande wowote yaani non aligned country ambapo tanzania...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Mastaa Waliowahi Kutamba Pamba Fc ya Mwanza

    James ng'ong'a na amri ibrahim
  11. E

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

    Dogani
  12. E

    JamiiForums Tanzania Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

    Na bei zao zipo chini sana sijui kama huyo mwarabu wa hapo mayor Kama anapata faida
  13. E

    JamiiForums Tanzania Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

    Nenda mayor restaurant kariakoo mtaa wa nyamwezi karibu Na msikiti wa makonde zamani ikiitwa zitta restaurant hapo unapatikana Msosi wa nguvu kuanzia breakfast mpaka lunch kila kitu kipo sawa Na vimepikwa kwa ufundi wa hali ya juu mpaka juice ya pale sio mchezo
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Juliana Shonza: Wema Sepetu hana utoto wowote, asubiri tu adhabu kutoka Serikalini

    Ukisema afrika unakosea nenda msumbiji mavazi yao ni vichupi chupi tu na mambo ya denda ni kama utamaduni wao hasa katika miji ya maputo,beira na quilimane
Back
Top Bottom