We endelea kulia tu na 5 hizo. Mtachapana bakora na mwisho mtashindwa kusajiri timu mpya. Timu imefulia na uhakika wa kuunda timu bora hamna! Imekula kwenu. Viva Simba Afrika!
Airtel hakuna mb4oo bali ni 500 lakn pia utalipia 12000/= kwa mwezi na mb25 ni 1500/= kiujumla imekuwa ghali sana. Utapata mb50 kwa 500/= kwa siku moja. Kwa maelezo zaidi bonyeza *154*44#
Simba 4 - 0 Yanga. Kaseja anafunga bao la 4 kwa penalti. Okwi amefunga 2 na Sunzu kwa penalti. Hadisasa mashambulizi ni makali simba wanashambulia sana.
CDM sasa nimegundua ni wazushi na nyimbo zimewaishia. Walianza ooh Lipumba ndani ya baraza jipya! Mara ooh wabunge 70 kujiunga na CDM. CDM sasa hawana jipya zaidi ya kutafuta cheap popularity.
Wanasema ni dhana lakini uliyosema hapo juu nikweli! Ukweli mtupu. Udini upo tena wakutisha! Binafsi huwa nafikiria mustakbali wa nchi hii! Kabla ya, au 2015/2016 kunaharufu ya damu.Damu huenda ikamwagika na dalili zipo wazi. Vurugu zitaanza na katiba mpya zikifuatiwa na uchaguzi mkuu,hasa...
Mh! CDM tatizo niwabinafsi na waroho wa madaraka. Isingekuwa uroho wao basi upinzani ungekuwa kitu kimoja. Na hasa kale kagamba kakanisa walikokavaa ndio noooma! Hivyo kutokana na gamba la kanisa pwani na kampeni zao lazima waloe. CUF inaamka na kurejesha makali yake!
Gazeti linatudanganya eti Lipumba atakuwa waziri katika baraza linalotarajiwa kutangazwa.Nimeishangaa sana habari hii ya gazeti ambalo nililiheshimu lakini sasa limepoteza sifa kwenye macho yangu.
Nibora habari hiyo isingekuwa front page,kwa mtaji huu gazeti hili linaeneza siasa chafu za...
Timu ya Yanga imeendelea kuboronga kwenye ligi kuu baada ya leo kukubali kulala kwa goli moja mbele ya Kagera Sugar.Pia ndani ya uongozi wa Yanga kumeibuka sintofaham kutokana na vipigo vinavyoendelea.Wakati huohuo Yanga imehusishwa na rushwa baada ya kutaka kuihonga timu ya Toto ili iweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.