Ni nani kati ya mawaziri 55 wa JK wanaweza kujivua magamba na kuvaa magwanda?

CDM sasa nimegundua ni wazushi na nyimbo zimewaishia. Walianza ooh Lipumba ndani ya baraza jipya! Mara ooh wabunge 70 kujiunga na CDM. CDM sasa hawana jipya zaidi ya kutafuta cheap popularity.
 
Nadhani hapa wewe ndiye mzushi! CHADEMA hata siku moja hawajawahi kutoa utabiri huu!
 
Back
Top Bottom