Recent content by Eeena nzawo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Watanzania wangejua hii historia ya Bulyankulu na Mwadui wangelia hata zaidi

    Nakuunga mkono kiongozi, Nafikiri rasimu ya katiba ya warioba ingetufaa kama mchakato wa katiba ungeendelea na kuipitisha kuwa katiba kamili.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Mimi nafikiri si busara kulazimisha wengine wafuate matakwa yako, kama kweli umefunga unaweza hata kumpikia chakula mihitaji na akala msosi na wewe kuendelea na funga yako.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Naipenda Yanga, ila siipendi rangi yao inanikumbusha mabaya

    Nakuelewa brother Lisu, hata mimi sipendi. Ila ni kweli Yanga na ccm mkubwa ni yanga kiumri vumilia.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

    Nafikiri hujitambui!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Anachokitetea Lissu kwenye mchanga ndio kinachotokea IPTL

    Lisu si mnafiki, anatukumbusha kuwa ni vizuri sheria zikaangaliwa badala ya kuongzwa na hisia.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    Asante mkuu, nimeiona fursa.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Mwishoni watatumaliza maana kila siku mmoja, wawili, watatu. Let us take it serious.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Inawezekana umeshaiona kabla ya mheshimiwa. Mud utaongea.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaendelea kununua VX V8 kwa viongozi wa serikali magari mengine hayafai na hayana ubora

    Mnataka nini bhana? Mbona elimu ni bure!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Mwalusanya atunae tena.

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Aisee, wanajenga wapi hawa jamaa?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mkuu Mpya wa Jeshi La Polisi (IGP) Simon Nyakoro Sirro

    Aliteuliwa na Dr. Magufuri mwaka 2006 kuwa msaidizi wa Kova. wakati huo Dr. Magufuri akiwa nani?
Back
Top Bottom