Jaji Mwalusanya atunae tena. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Mwalusanya atunae tena.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mayenga, Aug 6, 2010.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,463
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Ndugu wana Jf,

  Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa Jaji mstaafu wa mahakama kuu,Mwalusanya amefariki Dunia na kuzikwa jana hukohuko Dodoma.

  Jaji Mwalusanya atakumbukwa kwa mambo mengi hasa kesi yake maarufu ya MBUSHUU dhidi ya JAMHURI ambapo alionyesha msimamo wazi kwa kuipinga hukumu ya kifo.Jaji huyu ameandika kesi nyingi nzito na alijulikana kama Jaji mpigania haki.Hadi kifo kinamkuta licha ya maamuzi yenye kuwajali wanyonge ameandika machapisho mbalimbali kuhusu sheria za kazi,haki za wajane nk.

  Mungu amlaze mahali pema.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Rest in Peace Mwalusanya.
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimestushwa na kifo chake.
  Aliifanyia mengi mazuri kada ya sheria nchini.

  Mungu awafariji wafiwa
   
 4. c

  chibhitoke Member

  #4
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rip Mwalusanya, ulikuwa Jaji mahiri na jasiri

  Mhh Mwa Mwa ...maarufu mbona wanaondoka sana safari hii.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Aug 6, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,091
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa alikuwa mfano wa kuigwa na majaji wengine Tanzania! Kesi ya Mgombea binafsi ingekuja mbele ya Jopo la Majaji na yeye akiwemo kungekuwa na dissenting judgment!
   
 6. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2014
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ile kesi ya bi hawa mohamed ya miradhi alitoa haki ya kimungu mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi
   
Loading...