Habari wakuu,
Mji wa Singida hivi karibuni umekuwa mji unaokuwa kwa kasi zaidi na fursa nyingi za kiuchumi kuongezeka.
Karibuni wenyeji wa Singida na wanaoufahamu huu mji vizuri mtupe mengi zaidi kuhusu mji wa Singida, fursa za kibiashara na uchumi zilizopo, bei ya viwanja, tabia za wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.