Wale wanaopenda kuonja offer za watu.

Wale wanaopenda kuonja offer za watu.

The Intelligent

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
2,459
Reaction score
824
Jamaa kaingia baa,
Jamaa; mhudumu nipe kinywaji, na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazma kila mtu apate kinywaji.
Haraka sana mhudumu akagawa vinywaji.
Jamaa; nipe supu, na kila mtu humu ndani mpe supu maana wakati nnapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu, watu wakapewa supu tena safari hii wakapga makofi
Jamaa; mhudumu nipe bili na kila mtu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu, kila mtu lazima alipe bili yake.
 
Jamaa kaingia baa,
Jamaa; mhudumu nipe kinywaji, na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazma kila mtu apate kinywaji.
Haraka sana mhudumu akagawa vinywaji.
Jamaa; nipe supu, na kila mtu humu ndani mpe supu maana wakati nnapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu, watu wakapewa supu tena safari hii wakapga makofi
Jamaa; mhudumu nipe bili na kila mtu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu, kila mtu lazima alipe bili yake, zogo lilianza hapo....
Joke nzuri ila imeharibiwa na hayo maneno niliyobold.
 
Back
Top Bottom