Habari,mimi
ni kijana wa
kitanzania nimehitimu shahada ya kwanza ya sheria miaka miwili
iliyopita.Nimetafuta sana ajira sijapata naombeni msaada wenu kazi
yeyote ile halali.Niliwahikufundisha sekondari.Mimi nipo dar.
Vyuoni tunaosoma Education tunadharaulika sana tunaonekana kama
washamba, watoto wa wakulima na hatuna akili.
Wale wenzetu wa kozi zingine wanaonekana superior than us lakini after
the graduation we walimu akhaaa haooo tunaanza kula mishahara wenzetu
sasa mnasota mitaani na kuingilia kazi yetu ya ualimu.
Mtu unasoma LL.B huna hata ndugu au jamaa alieko field hiyo Tanzania
yenyewe ndo hii full nepotism unategemea nini?!
My take: Be smart when selecting a university course especiially if you
are from a poor family or else you will waste your parents' money due to
tution fees at the end you end up jobless!