Recent content by Edson Kamya

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Kumbe ni nini
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Huyo mtu anayeweza kufanya hivyo bila kumdhuru mtu kwa kificho kisha aseme kubwa amefanikisha kichawi, hayupo. Kama yupo mwbie afanye kwangu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wewe waweza kuniroga?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Hakuna uchawi bali ujinga juu ya jambo flan ambalo mwamini uchawi analiita uchawi na kwakuwa halijuwi jambo hilo, na kulieleza atakieleza in a distorted way. NO WITCHCRAFT BUT KNOWLEDGE GAP.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Naam, ni sahihi kabisa, lazima kuwepo na kitu ambacho muamini uchawi atakihusisha, na kitu hicho kwakuwa hakijuwi, basi atakieleza kwa namna iliyo tofauti na uhalisia.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wake
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Wewe mwenye akili nyingi thibitisha uwepo wayo.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Kunyweni kwa kiasi.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Ulimwengu unaenda hata kwa ulaghai na uongo. Huwezi kuwa mganga wangu kwani siamini katika uchawi kama wewe Huko kijijini hakuna uchawi bali walaghai na matapeli waliofichama ktk kivuli cha uchawi.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Irrelevant, huwezi kueleza inachokifanya wewe ni tapeli tu. Narudia kama unaweza kaniroge. Najua huwezi ......nitakuuliza uthibitishe ulivyoniroga na hautaweza.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Mkuu itoshe kusema kuwa. Mimi Edson Kamya (haya ni majina yangu halisia) nimekuruhusu uniroge kwa sharti moja tu. Ukifanikiwa kuniroga nawe uwe tayari kuweka bayana mchakato uliotumia mpaka ukafanikiwa jambo hilo, na uwe tayari kuwaruhusu watu wengine waitumie njia hiyo kuwaroga wengine then...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Utapeli na uchawi havitengani
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Kwakuwa nguvu hiyo haiwezi kuthibitika, then physical harm ndo inayotumika. Si aghalabu kusikia " mtaalamu akiomba jina, mahali anapoishi, picha, kazi, maeneo anayo tembelea. Ambapo taarifa hizo zinatosha kumfuatilia mtu na kumdhuru physically kimyakimya then ikatangazwa kua kushughulikiwa kwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa mtaa wa Kidugalo, Chanika tunateseka na Umeme, kila saa 12 jioni unapungua nguvu

    Si huko tu huku mwanza umeme unakatika kwa zamu. Kuna mgao usiotangazwa nadahani. Waya wa chalinze umeleta shida na hauunganiki.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Kwenye chaka hilo la uchawi tena vya kutisha. Kuna kuumizana/ kuuana na kuharibiana mali.
Back
Top Bottom