Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

Airtel nao mfumo wao wa Airtel money sijui hawaoni mpaka leo, watu wanajipigia pesa bure tu sijui huwa wanalipw deni au vp
 
Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Mzee umemuelewa alichosema?mbona unataka kumuwekea maneno?unataka kumlazimisha amejiunga mwenyewe ulikuwa naye wakati anajiunga?kwanini hutaki kukubali kama hawa Vodacom wamemkata hiyo 100tsh kimakosa?hoja yake amechukulowa balance yake na hiyo huduma haijui hajawahi jiunga nayo!
 
Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Hakuna acha kushadidia, mimi mwenyewe nikaona nimetumiwa msg ikiniuliza kama uankubali kujiunga au hapana, nikaandika hapana ,kesho yake nikashangaa naambiwa nakatwa 100 kila eti kuangalia game, nikawapigia 100 kuwaeleza kuwa mimi sijajiunga na huo ujinga na kuwa niliona msg nikaandika no, yule dada akasema unajua ulifungua link,nikamwambia binti mimi sio mbumbu kama unavyozani link gani mnatuma msg nyingi tu kijinga sasa kujibu sitaki ndio mkate basi aksema tunasitisha, Vodacom ni wezi ni kama alivyoandika aliyeleta huu uzi. nasubiri nichangie tone tone alafu nitupe laini yao, wacha niende huko kwingine,huu ni wizi wa mchana kweupe
 
Hawa mabwege vodacom ni wezi. Wanachofanya wanakupigia simu kwa namba inayoanza na 090 au 091 ukipokea tu na kukata (baada ya kuona wanachoongea ni upumbavu) hapo hapo inakuja sms inakuambia umejiunga na huduma so and so na utalipia shilingi 100 kwa siku. Juzi wamenifanyia hivyo, niliwapigia simu na kuwatemea shit.
 
Kuna hilo la ujumbe wa ghafla (pop up message) au kupigiwa kama wadau wengi walivyo changia hapo juu.

Na kuna hili la kukatwa/kuibiwa salio la muda wa maongezi ikiwa utachelewa kujiunga na kifurushi unachohitaji. Yaani unaweka salio halafu inapita kama dakika 10 chini ya/zaidi ya, ukitaka kujiunga kifurushi unashangaa ujumbe wa salio lako halitoshi, ukiangalia salio unakuta ni kweli limepungua na huendelea kupungua/kuibwa kadiri muda unavyo enda.

Kiufupi hawa Telecoms company ni wezi. Dawa yao ipo jikoni.
 
Mimi baada ya huduma zao nyingi kuzi block saizi wananiletea pop up msgs. Mfano simu ilikuwa idle ukitoa tu lock unakutana na msg yao inaelea juu ya screen so unaweza kuta kimakosa ume accept. Sasa unajiuliza kama sio utapeli kwanini msg itumwe kimtego mtego. Au unapigiwa na hiyo namba ya 090 the moment unapokea tayari umejiunga na hiyo huduma. Kwanini huduma itolewe kimtego mtego sio utumiwe msg ya kawaida uridhie mwenyewe kujiunga! Ni matapeli na I wonder TCRA wako kwa masrahi ya nani kwenye hili.
Ni kweli mkuu, VODACOM NI WEZI wa kuaminiwa.
 
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..

"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"

Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.

VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.

Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.

Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Vodacom Tanzania njooni huku mjisafishe
 
Hakuna acha kushadidia, mimi mwenyewe nikaona nimetumiwa msg ikiniuliza kama uankubali kujiunga au hapana, nikaandika hapana ,kesho yake nikashangaa naambiwa nakatwa 100 kila eti kuangalia game, nikawapigia 100 kuwaeleza kuwa mimi sijajiunga na huo ujinga na kuwa niliona msg nikaandika no, yule dada akasema unajua ulifungua link,nikamwambia binti mimi sio mbumbu kama unavyozani link gani mnatuma msg nyingi tu kijinga sasa kujibu sitaki ndio mkate basi aksema tunasitisha, Vodacom ni wezi ni kama alivyoandika aliyeleta huu uzi. nasubiri nichangie tone tone alafu nitupe laini yao, wacha niende huko kwingine,huu ni wizi wa mchana kweupe
Nilipata bahati ya kuoneshwa matumizi ya laini yangu na Vodacom, hizi huduma tunajiunga wenyewe, mimi mpaka ushaidi nilionywesha maana hapo awali nilikuwa najua ni wizi tu kama wewe
 
Soma ujumbe nilioletewa.
Wamekata TAYARI shs 100 na wanataka ujiondoe ukipenda.
Huu ni wizi.
Naelewa mkuu, hizi huduma wewe ndio ulijiunga either Kwa kutokujua na kama unaona Vodacom wamekuibia hata 100 unaweza kuwashitaki na ukapata Pesa nyingi tu, na wao hilo wanalijua ndio maana Wana hifadhi data zote za matumizi Yako.
 
Back
Top Bottom