Recent content by Edgar Michael

  1. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

    Mifuko inapatkana kiwandani Dar na arusha bundle inakuwa na mifuko 1000 na inauzwa 560000 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi ni wakala nilizuia muamala niliokosea kutuma kwa mteja kwa kufoward sms kwenda namba 100 matokeo na message ya kuzuiliwa muamala nikapata leo munaniambia mtu aliye pokea pesa kimakosa kafanikiwa kutoa ela usalama wa huduma zenu uko wap mumenikwaza sana na kunialibia siku
  3. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Aina ya biashara ambayo unaweza kuanzisha chuoni

    Mimi nilikua nafanya biashara ya kuuza diary nilikua naenda kariakoo nanunua diary zilizo pita muda wake kwa jumla nilikua napata kwa 2000 au 2500 ninaenda kuzaa 3500 ad 4000 wanafunz wengi wa chuo wanapenda kutumia wakat wa kutake note
  4. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Polisi na Askari Magereza wapigana makonde hadharani, mabomu na risasi zarindima stendi ya mabasi

    Mi nahic magereza ndyo walishinda kwenye ngumi hzo
  5. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania SERIKALI imeahirisha ujenzi wa barabara ya Dar es Salaam hadi Chalinze yenye urefu wa kilometa 144 ya Expressway hadi miradi mingine ikamilike

    Mbona kunamkandalas mbeya alijarbu kutoa utetez wa mvua mheshimiwa akasema barabara ikijengwa na mvua ndy inakua bora
  6. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kuugawa mzigo wote wa dukani kwa wamachinga

    Naona sasa unaanza kuisoma namba Ila agizo la jpm Ndyo alikua anamaaniasha kinachotokea sasa
  7. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

    Mwache aisome namba
  8. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni kuzinduliwa hivi karibuni

    Cjawai ona daraja linavusha watu kwa ela kwanza Tanzania 😃😃😃😃😃
  9. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Vp apo
  10. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

    Jipange kijana Maana mmmmh!!!!!
  11. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

    Duuuh mi mgen
  12. Edgar Michael

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ulanga nije Kilombero morogoro my no 0672447490 wa sekondari
Back
Top Bottom