Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

kamtupeni

Member
Apr 18, 2020
7
2
Ndugu zangu,

Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni.
IMG_20200504_121441_5.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ni wagumu kutoa chimbo bure, nenda kwa wauzaji wa jumla mpe hata buku atakupa direction yote
 
Mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....

Sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
 
mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Nahitaji baro moja Nipe Bei mkuu
 
mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Mikoa mingi bei ya rejareja huwa ni 600,na kiwandani huwa ni kati ya 400,hapo bado usafiri kutegemea na sehemu unakoipeleka!
 
mkuu unataka baro ngapi hiyo mifuko.....maana wanauza kwa baro kiwandani na baro moja huwa na mifuko 1000, nikikuwa nataka kufanya hiyo biashara mda furani tatizo nilikuwa sijajua soko lake wapi hasa hasa kwa mikoani....sasa nilieze niwe agent wako maana naweza kupata hiyo connection kutoka kiwandani.......KISHOKAAAA
Mifuko inapatkana kiwandani Dar na arusha bundle inakuwa na mifuko 1000 na inauzwa 560000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaj mifuko hii ya debe 6 kwa bei ya jumla kama 5,000 pieces. Anayejua napoeza kupata kwa 380,000/mifuko 1000 naomba msaada
 
Kwa mwenye ufahamu pia wa mifuko ya kinga njaa kwa bei ya jumla please atufahamishenaihitaji sna hiyo mifuko japokua sijajua inapakiwa kiasi gani na kwa bei gani.
 
Ndugu zangu,

Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni.View attachment 1446515

Sent using Jamii Forums mobile app
Shekh kama unataka kujikita kwenye iyo biashara na namna naweza kuwa na msaada lakini sio wa ndani ya nchi.

Kama utaweza tafuta mashine ya kushonea iyo mifuko naweza kuongea na manufacturer tuletee roller kwa bei ya 2100 Usd uzito wa ton 1.

Au

Tulete kama mifuko kamili kwa kiasi cha 0.130 Usd kwa mmoja.
IMG_20210514_092915_409.jpg
IMG_20210514_092911_146.jpg

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom