Daraja la Kigamboni kuzinduliwa hivi karibuni

Daraja la Kigamboni kuzinduliwa hivi karibuni

Hilo daraja ni ujenzi wa NSsf, hapo litakapo maliza itakuwa ndio kitega uchumi wao kuvuka sio bure, kwanini serikali imeshindwa kufanya ujenzi huu badala ya kuwapa NSsf? Bado tunasonga kwenye umasikini, tutaendelea kukamuliwa

Tatizo ni kujenga nssf au serikali au tatizo kulipia??
 
Daraja wajenge kwa pesa zetu halafu kuvuka watutoze pesa!
Inaingia akilini kweli?
Pesa zetu wanaziwekeza kwenye miradi mbalimbali halafu hatupati riba yoyote halafu pesa badala wakopeshe wachangiaji wanaenda kuwakopesha Matajiri tu.
 
Serikali ina hisa asilimia 40% (Japo sidhani kama wamechangia kikamilifu hizo 40%). By the way hata angejenga mjomba wako.., bado kuna running costs, hivyo utalipia tu.

Kuwa na hisa haimanishi kuwa serikali imejenga hilo daraja kwa ajili ya wananchi, imeweka hisa kwa sababu ya benefits tu , Kumbuka huu mradi wa NSsf.
Sisi tunalipa Road tax. Iweje leo hii serikali kwa kutumia hizi office za kijanja kuingia katika miradi ambayo serikali ndio jukumu lake?
 
m ntachofanya kwa kuwa ni mwanachama wa huo mfuko ntakuwa kila nkipita hapo naonyesha kitambulisho chao tu,maana nina huakika michango yangu ndio imetumika kukamilisha ujenzi wa ilo daraja
 
Cjawai ona daraja linavusha watu kwa ela kwanza Tanzania 😃😃😃😃😃
 
m ntachofanya kwa kuwa ni mwanachama wa huo mfuko ntakuwa kila nkipita hapo naonyesha kitambulisho chao tu,maana nina huakika michango yangu ndio imetumika kukamilisha ujenzi wa ilo daraja

Kama huwezi kulipia kapuge mbizi..
 
Daraja wajenge kwa pesa zetu halafu kuvuka watutoze pesa!
Inaingia akilini kweli?
Pesa zetu wanaziwekeza kwenye miradi mbalimbali halafu hatupati riba yoyote halafu pesa badala wakopeshe wachangiaji wanaenda kuwakopesha Matajiri tu.
Kwani wachangiaji wote ww nssf wanaishi Kigamboni?
By the way, zaidi ya mafao zaidi ya saba yanayotolewa na nssf unataka riba gani tena? Au ulisikia ile ni benki?
 
Cjawai ona daraja linavusha watu kwa ela kwanza Tanzania 😃😃😃😃😃
Madaraja mengi makubwa yanayojengwa hata ulaya hua yanatoza watumiaji kwa ajili ya maintenance na uendeshaji wa daraja. Pia itakuwa si haki pesa zitolewe na wachangiaji Wa Nssf halafu wanachama Wa pspf wapite bure! Pesa itakayokusanywa itasaidia kutoa mafao lukuki kwa wana Nssf.
 
Cjawai ona daraja linavusha watu kwa ela kwanza Tanzania 😃😃😃😃😃

Heheheheh,,,

Hata wenzako watakushangaa ,,,hujawahi kuona nchi,,umetembelea nchi ngapi mkuu?
Sema hujawahi kutembelea nchi mbalimbali zilizoendelea

Kwa kukusaidia tu nenda kagoogle "toll road" na uangalie "list of toll roads" utajifunza mengi sana kwa gharama ya mb chache tu bila hata kusafiri
 
Siku ufisadi uliofanyika katika ujenzi Wa daraja hili utajulikana, wengi mtabaki vinywa wazi.. Hii jampuni iliyioewa kandarasi ya crje ni kampuni kipenzi cha de dau na umefanya miradi karibu yote mikubwa nssf na kuwafanya viongozi walio karibu dau kujilimbikizia mali za kutisha. Gharama za ujenzi Wa daraja hili ni karibu mala mbili ya gharama halisi. Takukuru mpo?
 
Bila shaka yule wa ngazi ya juu kabisa atakua anafahamu
 
Huu mradi no zaid ya ufisad,no ujambazi uliopitiliza,hats magufuli aliona hill naskia wakati anaupinga aliondolewa ujenzi mkataba ukasainiwa fast a wakavuta.ila no jipu LA tambaazi[.wamejenga mijengo kufuru pale makumbumsho,ada estate na apartment upanga na mijumba kadhaa kigamboni
QUOTE="Gulwa, post: 15236886, member: 11032"]Siku ufisadi uliofanyika katika ujenzi Wa daraja hili utajulikana, wengi mtabaki vinywa wazi.. Hii jampuni iliyioewa kandarasi ya crje ni kampuni kipenzi cha de dau na umefanya miradi karibu yote mikubwa nssf na kuwafanya viongozi walio karibu dau kujilimbikizia mali za kutisha. Gharama za ujenzi Wa daraja hili ni karibu mala mbili ya gharama halisi. Takukuru mpo?[/QUOTE]
 
Yaani kwakuwa ni dau hata afanye zuri gani wajinga huwa hawaoni ama kweli chuki zimewazidi nyie punguani
 
MV magogoni imeanza kuleta shida, fungueni haka daraja basi
 
Back
Top Bottom