Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Duh kwa alivyokuwa anaishi mmmh ndoto hiyo lazima iliishia kwenye ushauri wa his ex zaidi juu ya vigodoro dances.
 
Lazima uwe na lengo, kutimia au kutotimia ni suala lingine.
Huku napita tu lakini kuna vichwa maji wengi.

Ni kweli mkuu.
Hata mimi lengo langu siku moja niinunue ile nyumba nyeupe pale magogoni. Nikiinunua niikarabati halafu niipangishe kama ofisi ya Marais.
 
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.

kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.

mkuu...Where there is a will , there is always a way!....ukiiga watu wengine siyo sahihi,tunatofautiana kimalengo....mtu kama Warren Buffet pamoja na kuwa ni tajiri katika top level kabisa....hajawahi kumiliki gari wala nyumba yeyote ya kifahari na ndege labda anakodi au alilazimika kununua sababu ya business zake.....ila mtu kama tyson na other blacks of the same type walihalikikisha/huwa wanahakikisha wananunua chochote kilichokuwa kwenye ndoto zao kuanzia majumba , magari nk hata kama hawayatumii.....
 
Gharama ya hiyo ndege si chini ya 25m us$!!! Karne nzima atasubiri.

Hio sio issue. Operation yake ndio inaumiza ,kuanzia parking,take off and landing fees, mafuta,crew,inter nation sijui nini na nini.... Kuwa na ndege ni mzigo bora uwe na charter.
Bill gates hana ndege wala buffett and these guys are the richest for years.
 
attachment.php


Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,

OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria

Toa comment kama una nyongeza..


Ivi unajua thamani ya ndege?? Mpk ndomo aweze kuwa nayo? Sio makalio hayo
 
watanzania kwa majungu salute kwenu! wengine wanaume wazima hapa hata miswaki hamjapiga bussy kupika jungu kumzidi sele bonge, bora lake lauzika, yenu je???? mfyuuuuuuu! bebeni sembe na nyie kama rahisi!!!
 
Back
Top Bottom