Elewa tu tangu nifike kwenye uso wa dunia sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday. Iwe nimezaliwa 1914, 1805, 2019, 1280, 1993, 1987,1667,80BC,2022 au mwaka wowote; Sijawahi kusikia wimbo mtamu kama Mayday.
Ni wapumbavu tu wanaweza kuvutwa kwenye upuuzi wa Forex wakiamini kuna utajiri. Mtu anakwambia Forex ina utajiri mkubwa sana halafu hapo hapo anatoa mafunzo kwa kuchaji vijipesa. Huo muda wa kufundisha watu kwanini asiuwekeze kwenye kutrade yeye mwenyewe awe Bilionea?
Ila wapumbavu hawaishi...
Wasafi na EFM wameondoa utawala wao kwenye vipindi. Na kule kwenye kuamua nani ang'ae kwenye muziki Diamond amewashughulikia ipasavyo na kuwamaliza. Hakika nguvu zina wakati.
Ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari. Asilimia zaidi ya 95 ya wazanzibari ni Waislamu. Sasa uwezekano wa kupata Mkristo awe rais ni asilimia ngapi?
Mkapa alikuwa na moyo mzuri sana wa kuwajali vijana wasio na uwezo wa kujilipia ada lakini wenye nia ya kujiendeleza kitaaluma. Mungu amlaze mahali pema.
Hakuna teknolojia yoyote inayoanza bila kasoro. Hizi zitarekebishwa zote na baada ya miaka kadhaa utajionea. AI inakwenda kufanya mapinduzi makubwa mno kwenye karibu shughuli zote za binadamu. Sio kwenye uchoraji tu.
Kwani amefungwa jela? Ametozwa faini? Maamuzi ya kutengua uteuzi kwenye nafasi ya kuteuliwa hayana uhitaji wa lazima wa kumpa mteule nafasi ya kusikilizwa kabla ya kutengua uteuzi.
Ukishindwa kulipa kuna mahali mkopeshaji anaweza kwenda kuviuza ili apate pesa yake? Na unasema hujakata tamaa kuhusu ajira; Kwa hiyo siku ukiitwa kwenye interview ambapo huwa wanataka uende na vyeti vyako halisi utavipataje ikiwa bado hujamaliza deni?
Ukivimbia milioni 250 pia wapo watakokwambia hiyo sio ya kuvimbia. Watasema uwe na angalau milioni 700. Ukiwa na hiyo pia kuna watu watakuona hautoshi kuvimba eti tafuta angalau bilioni 2. Kimsingi hata ukiamua kuvimba na 35,000 (elfu thelathini na tano) ni uamuzi wako.
Ni kama tu swala la...
Ni mwanaume mpumbavu tu anaweza kuwa na sifa hizo zote. Na ni mwanamke mbinafsi tu na asiyejua kutafuta pesa atahitaji sifa zote hizo kwa mwanaume. Kaka zangu amkeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.