Recent content by Eddy86

  1. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Nauliza tuu......... inawezekana kweli VN ya dakika 5 mtu awe ameidownload, kusikiza yote na kucomment kweny group ndani ya dakika 4??
  2. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Mimi swali langu hapo ni inawezekana mtu atume VN ya dakika 5 alafu within dakika 4 the uwe umeshaiload na kusikiza na ukakocomment..... kuna namna hapo
  3. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wamlilia Ernest Mangu

    Acheni unafiki watanzania...... una uhakika polisi hawajafurahia yeye kutolewa
  4. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Prof Mbarawa: Serikali kutuma wataalamu kukagua ubora wa ndege mpya ya Dreamliner (B787)

    Mimi sijaelewa hizo ni mbovu na zimekataliwa ilhali bado tunaambiwa ndio zinatengenezwa?
  5. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umetufikisha hapa...

    Kwani umeanza kukatwa awamu hii hayo makato? Kuhusu ongezeko la HELSB sio milele ukimaliza mkopo utarudi kweny mshahara wako ule ule na utasahau!
  6. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Katika wafungwa wa kisiasa duniani anaye huzunisha zaidi ni Bi Victoire Ingabire

    Unajielewa bro! Watu humu wanashabikia tuu vitu!
  7. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

    Mkuu hyo ni Infiti sio nissan
  8. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Nyerere day 2016 kumbukumbu ya baba wa taifa

    Haifinguki mbona
  9. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Pic zikowapi mbona sizioni mimi au wenzangu mnaziona.... Hapa ssa hvi najiandaa naondoka saa 5 na huyo ratco..... Me fan wenu though sitaki jua nani ni real owner wat matters ni muweze kumaintain hiyo level ya service mnayotoa!
  10. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Nani amrithi kikwete 2015?

    Mbuzi ndizi! Kwanini wote watokee Northern circuit?
  11. Eddy86

    JamiiForums Tanzania PICHA ZA X (filamu za ngogo)

    Huo ndio mpango mzima.......mwendo ni digital ssa hivi! Analogue tupilia kule Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. Eddy86

    JamiiForums Tanzania kweli huyu mtu anamapenzi ya dhati

    Hey......vuta pumzi alafu elezea kwa kituo
  13. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Binti Mariam

    Guyz kwani kuoa sehemu alipo oa kakako kunakua na tatizo? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  14. Eddy86

    JamiiForums Tanzania Wanawake bila kuongopewa awakubali

    Wengi wao ukiwaambia ukweli ndio huisi unawandanganya na ukiwandanya ndio wanaingia wanakuona wamaana! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom